Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.

Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.

Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.

"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".

Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.

Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.

Wait & see.
acha upotoshaji gentleman,
iliyoko Kenya sio demokrasia bali ni siasa za ukabila uliokomaa na kushamiri vema kulingana na mwanasiasa anakotoka.
 
Mama Samia huwa ananifurahisha sana Kwakweli, the way anavyojua kuwapump hawa wajinga wa lissu na kitima na mwishowe wanajikuta wanaungua kwa hasira za 'kufikirika'. Wakati mijinga hii inaungua, mama la mama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anakuwa zake ziarani kufungua miradi kwa Raha zake.

Aisee, hii inapendeza sana.
 
acha upotoshaji gentleman,
iliyoko Kenya sio demokrasia bali ni siasa za ukabila uliokomaa na kushamiri vema kulingana na mwanasiasa anakotoka.
Ukabila upo lkn katiba inau control.
 
Kesi ya Boni Mwangi na yule mwanamama waliolawitiwa TZ under order ya Samia iliishia wapi?
 
Mama Samia huwa ananifurahisha sana Kwakweli, the way anavyojua kuwapump hawa wajinga wa lissu na kitima na mwishowe wanajikuta wanaungua kwa hasira za 'kufikirika'. Wakati mijinga hii inaungua, mama la mama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anakuwa zake ziarani kufungua miradi kwa Raha zake.

Aisee, hii inapendeza sana.
Kwa vile wewe sio yeye hujui tu mzigo alionao baada mauaji ya mo29.
 
Ruto ana akili sana, Samia anasema wakija huko wachape wakija huku nawachapa, Ruto anamwambia Samia adui zetu sio Wakenya wala Watanzania.
HHkNnLrXcAAO_BU.jpeg
 
Mikwaju😭😭😭😭😭😭😭
20241121_163920.jpg
 
Attachments

  • 20241121_163920.jpg
    20241121_163920.jpg
    61.9 KB · Views: 15
acha upotoshaji gentleman,
iliyoko Kenya sio demokrasia bali ni siasa za ukabila uliokomaa na kushamiri vema kulingana na mwanasiasa anakotoka.
Kila siku mnajifurahisha kwa kusema siasa za Kenya ni za ukabila, hizo siasa zenu za ccm za kujipachika kwa kuiba kura zimewasaidia nini. Mnaua watoto wenu wenyewe kwa kuwateka kila siku halafu mnawanyoshea vidole wenzenu wanaochaguana kidemokrasia kwamba ni ukabila!
 
Kwa vile wewe sio yeye hujui tu mzigo alionao baada mauaji ya mo29.
Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani la kuigawa na kuiharibu.
 
Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani

Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani la kuigawa na kuiharibu.
Angekuwa ana raha na amani kusingekuwa na sababu ya kulipa PR Company ya Marekani 45,000$ kwa mwezi ioshe reputation yake,Hata kulipia bots ili zifanye mabadiliko ya story na kumpambania…
 
Angekuwa ana raha na amani kusingekuwa na sababu ya kulipa PR Company ya Marekani 45,000$ kwa mwezi ioshe reputation yake,Hata kulipia bots ili zifanye mabadiliko ya story na kumpambania…
Pole, kamwambie kitima na TEC yake wajipange upya!
 
TEC ineinguaje hapa acha uzuzu, Kama unawapenda SI na wewe uniunge nao. Heshimu dini za watu
 
Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani la kuigawa na kuiharibu.
Basi aendelee kuua ili aiokoe nchi zaidi.
 
Back
Top Bottom