Hivi Robert Kisena ni nani?

Mkuu huu siyo uongo mm ni mwananyati,nimeingia Nsumba 1993 Robert Kisena alihamia tukiwa form two.Tulimkuta Mkama Ndaro chairman wa shule Mr. Kibona,Jesus,Biye nk walikuwepo.Labda huyu Robert Kisena niliyesoma naye ni mwingine.Huyu hakuwa Kichwa wala hakuwa mkorofi. Mr Kibona RIP alikuwa mtu kwelikweli.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tunapowadhihaki wasukuma kwamba ni washamba huwa tumetafakari sawa sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nacheka kwa uchungu huku nashangaa.
 
bora daladala
No thanks, unajua karaha za daladala wewe? Kimara hadi posta unatembea kwa zaidi ya masaa mawili, katikati ya kubanana, kelele na matusi ya utingo na makonda, joto na kadhalika! Ni wazi wewe huwezi kuwa jaji kwa kuwa you have irrational behaviour, and certainly judgement.
 



Mkuu umenikumbusha mbali kweli kweli..Mkama Ndaro classmate Wangu...huyo Kisena uliyesoma Naye ni mwingine...huyu tunayemuongelea ni Kisena aliyemaliza nsumba 1991 Mkuu Wangu...labda majina tu yanafanana...Robert Kisena aka Jokala Kisena wa Simon Group ni noma Mkuu Wangu...Duuu...Jesus alikuwa maana sana kwangu Alishaniepushaga na noma la sanspaa...Kibona alikuwa amenikalia kooni Jesus akaninasua...
 
Kama chairman Mkama Ndaro ni clsssmate wako basi uliniacha firm one 1993.Nitakuwa nakufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amalize O-level mwaka 1991 na aanze A-level mwaka huo huo? Mtihani wa form 4 walikuwa wakifanya mwezi wa ngapi, matokeo yakitoka mwezi gani na masomo ya A-level yakianza mwezi wa ngapi?
 
Robert Kisena kama ni huyu wa Nsumba nilikuwa naye darasa moja.Nilikuwa B yeye C na tulimaliza1996.Alikuwa ni msukuma Mnyantuzu wa kawaida.Hayo mengine mbona siyajui? Uchaguzi wa 1995 bado alikuwa form three.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana pamoja na picha iliyowekwa haujamtambua kama ni yeye mliyesoma nae? Kuna mwingine kasema kamaliza form 4 hapo hapo Nsumba mwaka 1991.
 
Mwelezee na Charles newe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibona, Begasha, Magambo....long time


Yeah Long time aisee....Kuna yule Mwalimu wa Kiswahili (form four) alikuwa anaitwa Budigira sijui...yule nilikwaruzana naye sana kwenye somo la kiswahili maana nilikuwa silipendi halafu yeye anataka nilipende...basi kila akiingia darasani kufundisha akiuliza swali ananipoint mm nijibu...nikishindwa anamind balaa...alikuwaga ananiambia unawezaje hisabati unashindwa kiswahili maana hisabati nilikuwa vzuri sana. (masomo ya science kwa ujumla)
 
Kuna yule mwalimu mwingine mhaya alikuwa anakaa pale chini ya uwanja wa pale jirani na chuo cha "Shosho" alikuwa anaitwa nani vile? Kuna wakati alinunua li pickup moja bovu sana likimtesa kila siku kusukuma pale uwanjani yeye na familia yake ili liwake. Kwake alikuwa kila jioni anauza maziwa na vitafunwa. Nasikia yeye na mkewe baadae walifariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…