Hivi Rev. Masanilo wa JF amekuwa mod?

Status
Not open for further replies.
hujala Omo, povu la nini?
Kuna jukwaa la malalamiko.

Kwani, tripo 0 ni timamu??
Ungetaka usipate utapiamlo kama huu ndo ungemPM
maadam umeileta hapa, nitachangia nitakavyo ebo shabash!

kuna watu wengine wana matatizo binafsi. Au wewe kongosho ni ID nyingine ya masanilo? Wewe umekuwa ukichangia sana thread za 'kutakana' za akina jane, mbona huwaambii watumiane PM na hiyo issue huwa ni private? Mimi nimepata "warning" kutoka kwa masanilo unataka nimuulize mwenyewe ninaye mtuhumu? Kama unakuwa umechoka una kula lapa, si kuandika utapiamlo kwenye thread za wengine!
 
Nimeukwaa UMOD wa kujitegemea

Acha kupost mashudu na mashuzi hapa JF

You have been warned!

Dude, no threats! Kila mtu anahaki na mawazo yake! Wewe umekuwa namba moja wa kupost mambo ya ajabu hasa kwenye imani za wengine, na hakuna anayekupa warning! Kama uli-act kibinafsi I can take it as a joke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom