Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Mods mngekuwa mnatimiza wajibu wenu na kuwa fair kwa hili jamvi letu, ujinga kama huu wa mleta mada usingeruhusiwa kudumu hata kwa dakika tano. Kwa kweli mnaonesha dharau kubwa kwetu wana JF...fikiria mtu anaingia humu kwa mara ya kwanza kabisa halafu anakutana na upuuzi kama huu ulioletwa na anayejiita Makusudically; bila shaka akitudharau ni halali yake. Makusudi hapa ya Makusudically ni kuishushia hadhi JF, nothing more nothing less!
CC: Cookie, Mhariri, Active, Moderator
kwa7bu gani utolewe? Jf ni mali yako? Au unachangia peke yako? Huna hoja, kaa kimya! Usiwashwe kwa pilipili usiyoila!
ninachojua kama sio kuhisi, sabodo na waasia wenzake wanawasiwasi siku wapinzani wakiingia madarakani wanaweza kuanza na wao kwa kuliibia taifa hili kwa miaka mingi. kwa hiyo wanachofanya ni kujaribu angalau kujipendekeza kwa wapinzani ili likitokea la kutokea wao angalau na pakujishikiza.Anashabikia Ccm, Na Sabodo Je Utasema Anashabikia Chama Gani??
Eti Mtei Alizindua Ktabu Chake Kwnye Hotel Ya Mtei, Ulitaka Azindulie Kwenye Hotel Yako??
Mengi ni nani?
Mtu mmoja anawezaje kuumiza watu vichwa?
Aingie tu chama chochote hata cha wala gongo haina shida.
Ccm ni ngumu sana kuitoa madarakani.
jidanganye.Mengi ni mfanyabiashara smart asiejihusisha na chama chochote in my opinion. Akiongea anagusia issues tangible zenye manufaa kwa wananchi nabkwake binafsi. Namheshimu kwa hilo
Ndiyo unavyojidngaya na akili yako hivi.Mengi ni mfanyabiashara smart asiejihusisha na chama chochote in my opinion. Akiongea anagusia issues tangible zenye manufaa kwa wananchi nabkwake binafsi. Namheshimu kwa hilo
Hivi Wachagga waliwafanya nini?Hivi hawatakiwi nchi hii?Hii mada ni ya kikabila.Ni mada ya chuki
Hivi Wachagga waliwafanya nini?Hivi hawatakiwi nchi hii?Hii mada ni ya kikabila.Ni mada ya chuki
wezi sana!