Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hajaanza Leo sema kwa sasa social media zimekua,,,nakumbuka way back akiwa N/wazir tamisemi alikua the same same
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
inawezekana umechelewa kumjua, au umemjua baada ya media kuanza kukava habari zake! Ndio maisha yake.. but ubaya ni kwamba anachokisema, huwa hamaanishi, au anapotezea
 
huyu anakwambia anataka tbr iwe kama new York Johannesburg yaani iwe jiji huyu jamaa mi hata simpatii picha
 
Mkuu ww ndiye utakua comedian tuulize sisi wana tabora ndio tunamjua vizuri rc wetu ni mchapakaz na ni mtu poa sana asiyejikweza kama viongozi wengine,,ila namna anavyowasilisha maagizo yake watu wanamchukulia comedian
 
Acha atupunguzie stress ... kwani wewe inakukera nini? Rekebisha tu mfumo wa akili yako mchukulie kama ze commedy then uta enjoy ... ila wewe kama ni mlengwa wa matamko yake sidhani kama uta enjoy maana naamini anafuatilia anayoyaongelea na hasa yale yanayohusu watendaji katika idara za mkoa wake ...
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"

unavomchukulia na utendaje wake ni tofauti, waulize Tabora watakujuza, anapiga kazi sana
 
Wewe ndio unaweza kudhani ni comedian but Agrey mwanri kwa sasa ndiye Rc mchapa kazi. Over.
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"

Mkuu jaribu kuulizia kwanza umfahamu mtu. Kwanza ni mtu wa utani na siku zote yuko hivyo, wewe unaonekana umemjua jana

Pili mkwara wake ni mbuzi hana ukatili, hana roho mbaya na hafukuzi watu au kusimamisha watu KAMA UNAVHOTAKA TUAMINI

Maagizo yake yanakuwa straight yanatoka moyoni na NDIVYO ALIVYO

Kusema amefyatuka ni kumkosea heshima!!! omba radhi kwa wanaomjua
 
Better be your own. Kila mtu ana staili yake ya kuwakilisha ujumbe kwa jamii. Hata Theresia May hucheza mziki jukwaani, Madeleine Albright nk. Wengine walivaa km Ninja wakafanikiwa kufikisha ujumbe. No stress
 
Mkuu jaribu kuulizia kwanza umfahamu mtu. Kwanza ni mtu wa utani na siku zote yuko hivyo, wewe unaonekana umemjua jana

Pili mkwara wake ni mbuzi hana ukatili, hana roho mbaya na hafukuzi watu au kusimamisha watu KAMA UNAVHOTAKA TUAMINI

Maagizo yake yanakuwa straight yanatoka moyoni na NDIVYO ALIVYO

Kusema amefyatuka ni kumkosea heshima!!! omba radhi kwa wanaomjua

Labda kila mtu hapa JF apewe mkoa kwa wiki, mwezi mmoja. The point watu hawajui wanataka nini, nani anasimamia pesa zao, mtu gani kuwafikishia malengo yao. Inaonekana wanapenda wapigaji wenye maneno mazuri sana, sura nzuri, tabasamu.

Ila mahesahu hawaangalia kabisa.
 
Elvischirwa hii nchi imechezewa sana, viongozi kuwaka kidogo sio viba
ya.
Kama unaweza kumfokea mwanao mbele ya wenzake basi haufai kuwa mzazi na siku mwanao akikujibu mbovumbovu mbele ya WATU usimpige jua ni mbegu uliyoipanda.
 
Lakini afanyaje, engineer hana majibu ya vitu muhimu sana, sasa afanyaje, achekee naye halafu aondoke na kumshukuru sana.

Wakati mwingine tupunguze kejeli, kebehi, dhihaka kwa mtu mwenye msimamo, anayesimamia maslahi yetu, hata kama hatumpendi.

Anaitwa comedian sababu amesimama, kumbe tunahitaji wahuni watuongoze.

Tuchekeane tu, tuchukue viongozi wenye sura nzuri na tabasamu wacheshi, halafu tunalalamika hakuna huduma muhimu kumbe tuna wezi lakini ni wacheshi, sura na tabasamu nzuri.

Hizi ndizo akili zetu, siku zote tutapata wahuni wanajua akili zetu.
Natamani ingekuwa hvyo usemavyo... Huyu anapenda tu attention ya media; nkikumbuka alipokuwa naibu wazr tamisemi, bungeni ilikuwa n full comedy!
 
Back
Top Bottom