Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Mkuu mi cjawahi Kuwa mwanachama wa Chama chochote Ila nasamaga mambo ya TANU na falsafa za mwalimu Nyerere zinanivutia sana loh

Ni mmoja wa Watanzania wenye akili sana. Asilimia kubwa sana kila siku wanapiga kelele hapa kuhusu vyama. Sio maslahi ya Taifa.

Watu wako tayari Wauze nchi ili kuwakomoa ndugu zao (wawewapa majina ila wanaitwa wapinzani au chama cha serikali lumumba, ufipa, ccm cdm.)

Hawafikirii watoto, wao wajukuu, miaka 50, 100. Nchi itakuwa kwenye hali gani?

Watu wanafikiria maslahi yao tu, sasa ukimpata mtu aliyesimama ni vizuri kusimama naye.
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
😀😀nadhani ni aina tu ya uwasilishaji wake na hiyo itasaidia watu wake kumuelewa zaidi anavyowasilisha siliasi halafu na utani kidogo japo mda mwingine anawaka mno.
 
😀😀nadhani ni aina tu ya uwasilishaji wake na hiyo itasaidia watu wake kumuelewa zaidi anavyowasilisha siliasi halafu na utani kidogo japo mda mwingine anawaka mno.

Ila mkuu hakuna (perfect person) mtu aliye kamili kwenye kila kitu.

Mapungufu fulani tuyavumilie.
 
Vyama vya siasa vimewapa watu upofu kabisa yani wengine hawawazi kuleta meandeleo ni kubaki tu madarakani, nguvu nyingi inatumika kupambana na upinzani, ka taifa inabidi kuwe na agenda ya kitaifa isiyo jali Chama au kabila tuwe kitu kimoja. Siku hizi uzalendo ni ndio mzee.
Tukitaka kupiga hatua tuweke masilahi ya taifa kwanza vyama baadae
Ni mmoja wa Watanzania wenye akili sana. Asilimia kubwa sana kila siku wanapiga kelele hapa kuhusu vyama. Sio maslahi ya Taifa.

Watu wako tayari Wauze nchi ili kuwakomoa ndugu zao (ila wanaitwa wapinzani, ccm cdm.)
 
Wewe kama hauna la kuposti si unatulia tu, kwani lazima upost?
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
 
Vyama vya siasa vimewapa watu upofu kabisa yani wengine hawawazi kuleta meandeleo ni kubaki tu madarakani, nguvu nyingi inatumika kupambana na upinzani, ka taifa inabidi kuwe na agenda ya kitaifa isiyo jali Chama au kabila tuwe kitu kimoja. Siku hizi uzalendo ni ndio mzee.
Tukitaka kupiga hatua tuweke masilahi ya taifa kwanza vyama baadae

Umemaliza.

ila tunawekaje maslahi kwanza bila kufuta mfumo wa wazungu. Tutafute mfumo ambao tunashirikiana na kuwakilisha nchi yote,sehemu zote.

Inawezekana kuwa na wakilishi kutoka kila sehemu, kaskazini, kusini, mashariki magharibi, kuangalia maslahi ya kila mtu ila kwa akili zetu kila kitu lazima tufuate vitu vilivyowekwa na wakoloni.

Uwezo wetu ni kupanga vitu vyetu wenyewe flesh bado mdogo sana.

Pia wa akili zetu ukiongea ninavyoongea kila mtu anakuchukia, eti lazima uwe ccm au cdm kuonekana ni mzalendo.

Siku zote tutapata viongozi wanaotuburudha siku zote. Kwa sababu ndio tunaowapenda, hata kama hatujui, ukimpata kiongozi mzuri unajaribu kumtoa bila sababu za msingi. Chuki binafsi.

Ila lazima wenye akili, watudhibiti (kucontrol) hadi tutakapopopata akili. Hakuna mbadala, hakuna namna, njia nyingine.
 
Mkuu siku nyingine usiulize majibu uliza swali. Mchaga kachanganyikiwa kuona clip zake mitandaoni anazani watu wanafurahia kumbe wanapunguza stress za Magu.
 
Umemaliza.

ila tunawekaje maslahi kwanza bila kufuta mfumo wa wazungu. Tutafute mfumo ambao tunashirikiana na kuwakilisha nchi yote,sehemu zote.

Inawezekana kuwa na wakilishi kutoka kila sehemu, kaskazini, kusini, mashariki magharibi, kuangalia maslahi ya kila mtu ila kwa akili zetu kila kitu lazima tufuate vitu vilivyowekwa na wakoloni.

Uwezo wetu ni kupanga vitu vyetu wenyewe flesh bado mdogo sana.

Pia wa akili zetu ukiongea ninavyoongea kila mtu anakuchukia, eti lazima uwe ccm au cdm kuonekana ni mzalendo.

Siku zote tutapata viongozi wanaotuburudha siku zote. Kwa sababu ndio tunaowapenda, hata kama hatujui, ukimpata kiongozi mzuri unajaribu kumtoa bila sababu za msingi. Chuki binafsi.

Ila lazima wenye akili, watudhibiti (kucontrol) hadi tutakapopopata akili. Hakuna mbadala, hakuna namna, njia nyingine.
Tatizo hata sio mfumo wa wazungu ni uzembe wetu wenyewe na kukosa vipaumbele ka taifa. Pia ubinafsi wa viongozi hawa fikirii kesho ya vizazi vijavyo wao ni siasa chafu tu kwa kwenda mbele.

Ili tupige hatua inabidi tukae chini ka taifa na tujadeal ni mifumo ipi tutaitumia Ili kujikwamua na umaskini na kuongeza utendaji kazi. Ka nchi tulizolingana nazo umaskini waliweza kwanini sisi tushindwe kupiga hatua ya kuondoa huo umaskini had tuwe donor country. Siku tukipata kiongozi mwenye maono mapana tutapiga hatua Ila huu ushabiki wa kisiasa hatufiki
 
Nishawahi fanya kazi na boss wangu alikuwa dizain ya huyo mwanri...mkuu nakuhakikishia hao watu ni watu poa sana akiwa boss wako huwa hawana madhara ile inakuwa mikwara tu kuwafanya watu wawe serious...nakumbuka boss wangu alikuwa na mikwara dizain iyo ili watu wamwogope but jamaa alikuwa mtu poa sana mwenye roho nzuri
 
Tatizo hata sio mfumo wa wazungu ni uzembe wetu wenyewe na kukosa vipaumbele ka taifa. Pia ubinafsi wa viongozi hawa fikirii kesho ya vizazi vijavyo wao ni siasa chafu tu kwa kwenda mbele.

Ili tupige hatua inabidi tukae chini ka taifa na tujadeal ni mifumo ipi tutaitumia Ili kujikwamua na umaskini na kuongeza utendaji kazi. Ka nchi tulizolingana nazo umaskini waliweza kwanini sisi tushindwe kupiga hatua ya kuondoa huo umaskini had tuwe donor country. Siku tukipata kiongozi mwenye maono mapana tutapiga hatua Ila huu ushabiki wa kisiasa hatufiki

Cariha umetulia, at least huna matusi ya nguoni kwa watu unaopishana nao.

Ila uwe uwezo wa kufikiria hatuna, bado sana labda miaka 20 30, 40, wote tukiwa tayari tumekufa tumeacha mazingira tete kwa ndugu zetu, watoto wetu na wahuni kuiba kila kitu.

Mtu anasaidia zaidi ya watoto 10,0000 kwenda shule, anaenda site kuangalia kila
senti za millioni 800 zinatumika vizuri ila kwa akili zetu huyu ndio adui wetu, namba moja huyundio tatizo letu,

Akifukuzwa kazi kila mtu atakuwa na furaha kubwa, Kuna tatizo kidogo.

Unajua Wakorea hawajatupita kitu chochote ila wanawasaidia watu wao,
wameweka mifumo ya ukweli kuwasaidia watu watu wao, wanawazesha watu wao, biashara zao, wamewekeza sana kwenye mazingira rafiki, watu, wawekezaji wa ukweli.
 
Hivi RC Agrey Mwanri zimefyatuka?...

...Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Mbona umeuliza na kutoa jibu hapo hapo? Katika hii awamu hao ndio wanaotakiwa...waliofyatuka! Hivyo ndivyo alivyowahi kutamka "BWANA YULE" kwamba ni kichaa na sifa kubwa anayoitaka anapoteua ni hiyo, wawe vichaa kama yeye. Sasa ikitokea kwamba alifanya makosa alipokuteuwa kwani hukuwa kichaa lazima sasa uoneshe kuwa na wewe umo.

Ukilegealegea na kuanza kutumia busara badala ya ukichaa, lazima utumbuliwe. Watu kama Nape walishindwa kutambua hili mapema hivyo walijaribu kutenda majukumu yao wakitanguliza hekima na kilichowapata hawatakisahau. Alionesha ukichaa ulivyo hadharinj kwa kutolewa bastola na toka siku hiyo anajua hatari ya kichaa kupewa rungu.

RC Agrey Mwanri huenda akawa kipenzi cha bosi wake labda hata zaidi ya waliomtangulia kwani ni katika wale wanaojua namna ya kuji-adapt katika mazingira chini ya huu utawala. Asiachie hapo, aongeze juhudi hadi hata familia yake ione tofauti na kwamba baba kabadilika. Hongera Mwanri! Milango karibu itafunguka kwani katika awamu hii ukichaa unalipa.
 
Back
Top Bottom