Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
wivu umekutawala
 
Mbona anayemlipa mshahara hajalalamika sasa ww kama nani unalalamika? Maneno ndio kazi?? Kwani kama akifanya comedy na kazi zinaenda tabu iko wapi?? Acha wivu wa kikekeekeeekooo
 
Kadri siku zinavyoenda naona ndiyo anazidi ' Kuharibu ' huku Yeye akidhani ni ' Sifa ' na kibaya zaidi hata Watu walio nao jirani / karibu hawampi ushauri. Kiutendaji namkubali sana na wala sina wasiwasi nae kwani nina Historia nae / yake nzuri tokea huko nyuma kote alikotoka ila siku hizi anakengeuka / anakosea mno. Hata hivyo ' ameshachoka ' hivyo simshangai sana au kivile.

Gentamycine uko sawa kama huoni hawafai.

Tunahitahiji kuwa wakuu wa mikoa waliokamilika, Watu kamili, waliotulia, hawana utoto,
mbwembe, waongo wakiongea maneno mazuri na tabasamu kila mtu anawapenda.

Tuangaliie watu wakweli, hata kama hawana mbwembwe, tabasamu lugha nzuri lakini nyuma wamesimama.

Sasa ungekuwa wewe mkuu ungefanyaje, mradi wa 800 millioni, mshikaji hajafika hata siku moja, ndio mhandis mkuui, msimamizi wa wilaya, msimamizi wa ujenzi wa hospitali, hospitali inajegwa RC ameeenda kuitembelea, amewaka kidogo.

Labda ungekuwa wewe ni mkuu wa mkoa ungechukua hatua gani? Ungeongaje?
 
Ila yule baba anachekesha...kila nikikumbuka ile clip ya sukuma sijui natabasamu mwenyewe!
 
Agrey Mwandri yupo vizuri na amejiandaa kisaikolojia kwa chochote kitakachotokea tangu alipopigwa chini ubunge kwao siha sasa hivi yupo tayari kwa lolote, angalau atakuwa akiangalia clip zake na atawaonyesha wajukuu na vituku hapo baadae akiwa kwake.
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Ni kiongozi asiye na staha, kiongozi anayewafokea viongozi wenzake kama watoto watukutu! Akisahau heshima walizonazo kwenye jamii, yeye ni bosi.
 
Ni kiongozi asiye na staha, kiongozi anayewafokea viongozi wenzake kama watoto watukutu! Akisahau heshima walizonazo kwenye jamii, yeye ni bosi.
Elvischirwa hii nchi imechezewa sana, viongozi kuwaka kidogo sio vibaya.
 
Na ilituuma sana kupitiwa na mafuriko, lakin angekuwa mbunge kuna nafasi fulani anafaa
Kweli aggrey ilikuwa ni upepo tu hafu mbunge aliye mshinda akajiuzulu tena akarudi ccm. Sijui huyo mbunge kapotelea wapi?
 
Back
Top Bottom