mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,932
Ni huyu pamoja na w Simiyu ila Simiyu ni no 1Katika wakuu wa mikoa wa JPM huyo peke yake ndiye nampa pointi zote mia moja kwa hekima, busara na uchapa kazi.
Ni huyu pamoja na w Simiyu ila Simiyu ni no 1Katika wakuu wa mikoa wa JPM huyo peke yake ndiye nampa pointi zote mia moja kwa hekima, busara na uchapa kazi.
Sasa hivi anatafuta media attentiontu wanasema Kiki.Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Mkuu ufuasi wa siasa ni uhuru wa mtu. Acha kulazimishia mapenzi maana hapa unataka jamaa amuone Mwanri ni tatizo kwa vigezo vyako ya mahaba.Yes, naamini hujaona tatizo lake. As long as wewe ni m-ccm (which means ume-delegate uwezo wako wa kufikiria kwa watu wengine) hutaweza kuona tatizo lake. Ila siku hao uliowa-delegate huo uwezo wako wa akili wakikuambia upumbavu wake nitakuona hapa ukishangilia.
wala sio mkali bali ni aina yake ya uongeajiMmmh...mkali sana yule mbaba asee![]()
![]()
Teh teh alitaka nini kwani...jf jamaniNasikitika mleta hajapata alichokuwa anakitaka kwenye huu uzi wake.
Wakati ule akiwa naibu waziri Tamisemi alikuwa ni burudani tosha bungeni wakati akijibu maswali ya wabungeHuyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Ameona comedy inalipa!



Mwamri anatafuta sana public attention hadi anakoseaga step.
Anafaa zaidi kuwa mnadi mnada yule.






Wewe ni kati ya mashenzi yanayoendekeza ukabila na ukanda nchi hii. JisahihisheKatika hali ya kawaida hutapata wa kumtusi Mwanri humu kwani anatoka kanda ya wapenda majungu na ubinafsi
anaburudani sana, sasa hivi viongozi wengi matamko yao yanaumiza, angalau huyu amegeuka burudani...napenda kile kipande chake cha (chikichii chikichiii)
![]()
Ile anasema ule ubwa bwa unapigwa pigwa hivi mpaka akina mama wanasema achikichiki chikichiii hee×4






Mkuu wewe uwezo wako wa kufikiri umeuazima kwa nani?Yes, naamini hujaona tatizo lake. As long as wewe ni m-ccm (which means ume-delegate uwezo wako wa kufikiria kwa watu wengine) hutaweza kuona tatizo lake. Ila siku hao uliowa-delegate huo uwezo wako wa akili wakikuambia upumbavu wake nitakuona hapa ukishangilia.