Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

There is every reason to believe kua yule mzee kuna kitu fulani hakipo sawa hasa ukiangalia hii clip yake ya insta huko ya leo kama sio juzi
 
Basi utakuwa umemjua juzi tu,anavituko tangu awe Waziri tamisemi,namna alivyokuwa anajibu maswali bungeni alikuwa ivyo ivyo tu
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"

Ameshachoka kuwa Mtumishi wa Umma na sasa analazimisha ' Kutumbuliwa ' ila naona ' Watumbuaji ' wenyewe nao ' wamemkaukia / wamempotezea ' tu, labda wanasubiri hadi Siku ajisaidie moja ya ' Haja ' mbele ya ' Kadamnasi ' ya Watu au Kikaoni ndipo watamuelewa. Hata hivyo naona siku zake za kuwa kama Mkuu wa Mkoa wa Tabora haziko mbali sana na ni suala la muda tu atapumzishwa.
 
Mkuu wewe uwezo wako wa kufikiri umeuazima kwa nani?

Sijauazima boss. Nilipewa na Mwenyezi Mungu. And a proof of this is sisubiri mtu mwingine aseme kitu ili ni-echo alichokisema. Na nafanya maamuzi based on the facts, sisifii au kupinga kitu kisichostahili. Na wewe je? Ukiongopa hapa nitakuumbua, so bora ukawa mkweli.
 
Ameshachoka kuwa Mtumishi wa Umma na sasa analazimisha ' Kutumbuliwa ' ila naona ' Watumbuaji ' wenyewe nao ' wamemkaukia / wamempotezea ' tu, labda wanasubiri hadi Siku ajisaidie moja ya ' Haja ' mbele ya ' Kadamnasi ' ya Watu au Kikaoni ndipo watamuelewa. Hata hivyo naona siku zake za kuwa kama Mkuu wa Mkoa wa Tabora haziko mbali sana na ni suala la muda tu atapumzishwa.
Hakikaaa
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah! esopo! Huyu anaelekea kuwa chizi

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Chikichi chikichi chikichi anaelekea kuwa chizi
 
Ameshachoka kuwa Mtumishi wa Umma na sasa analazimisha ' Kutumbuliwa ' ila naona ' Watumbuaji ' wenyewe nao ' wamemkaukia / wamempotezea ' tu, labda wanasubiri hadi Siku ajisaidie moja ya ' Haja ' mbele ya ' Kadamnasi ' ya Watu au Kikaoni ndipo watamuelewa. Hata hivyo naona siku zake za kuwa kama Mkuu wa Mkoa wa Tabora haziko mbali sana na ni suala la muda tu atapumzishwa.

Kwanini unasema hivi?
 
Tukipata mtu mchapakazi, anayeziangilia kodi zetu zinatumiwa vizuri tunaanza kulalamika.

Tunahitaji watu kama huyu waangilie pesa zetu kodi zetu zinatumika ipasavyo. Wawe wakali kwelikweli.

Mimi naona anafaaa kuwa waziri hata wa kilimo au viwanda.
Wabongo walafi watu kama huyu mzee ndo wanafaa waafrika mi huwa siwaelewi aisee walafi mno
 
Kwanini unasema hivi?

Kadri siku zinavyoenda naona ndiyo anazidi ' Kuharibu ' huku Yeye akidhani ni ' Sifa ' na kibaya zaidi hata Watu walio nao jirani / karibu hawampi ushauri. Kiutendaji namkubali sana na wala sina wasiwasi nae kwani nina Historia nae / yake nzuri tokea huko nyuma kote alikotoka ila siku hizi anakengeuka / anakosea mno. Hata hivyo ' ameshachoka ' hivyo simshangai sana au kivile.
 
Back
Top Bottom