ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,452
- 5,670
Kama unaweza kumfokea mwanao mbele ya wenzake basi haufai kuwa mzazi na siku mwanao akikujibu mbovumbovu mbele ya WATU usimpige jua ni mbegu uliyoipanda.
Elvischirwa kama mwanao haeleweki, mbishi, anafafanya anavyotaka.
Unafanyaje?

