



huyo mchaga halisi
Mi napenda kile kipande cha ntoronto![]()
Mwambieni apunguze vibweka basi.Katika wakuu wa mikoa wa JPM huyo peke yake ndiye nampa pointi zote mia moja kwa hekima, busara na uchapa kazi.
Analeta FUTUHI mbele ya kamera tu......mambo ya kufanya unanyoosha mkono akukamate akuweke ndani ndio nini sasa anafanya? Wananchi wanataka maendeleo kama kuna kiongozi kafanya ubadhirifu kwenye miradi ya halmashauri fuata taratibu za kuwawajibisha.Mmmh...mkali sana yule mbaba asee![]()
![]()
mkuu tutapinga kila mtu?awamu hii hawa ndio viongozi wanaotakiwa
Aache mwendawazimu yuleKwahiyo wewe ulitaka asemaje mkuu?
Kwa hiyo pale ilikuwa ni spesho kwa ajili ya camera?Analeta FUTUHI mbele ya kamera tu......mambo ya kufanya unanyoosha mkono akukamate akuweke ndani ndio nini sasa anafanya? Wananchi wanataka maendeleo kama kuna kiongozi kafanya ubadhirifu kwenye miradi ya halmashauri fuata taratibu za kuwawajibisha.
Mmmh...mkali sana yule mbaba asee![]()
![]()
Ameona comedy inalipa!Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Kabisa mkuu....naona yeye kama yuko serious hivi?Witnessj, bila ukali wabongo hawakusikizi, sasa unafanyaje?
Mimi ningependa tuwe zaidi na watu kama yeye, utoto, kuchekeana kodi uishe kabisa.
basi sawa mkuu.mkuu tutapinga kila mtu?
mbona Aggrey yuko poa tu?
Lights Camera Action Take One wote ambao anawakaripia mbele za kamera hakuna kinachofuata baada ya tukio.Kwa hiyo pale ilikuwa ni spesho kwa ajili ya camera?
Ile ni sauti tu ya ukali kama alivyoumbwa na Mungu lakini ni mpole kama kipepeo na ni mjanja kama kobraMwambieni apunguze vibweka basi.
Kwa hiyo pale ilikuwa ni spesho kwa ajili ya camera?
Haahaaahaa....eti take one actionLights Camera Action Take One wote ambao anawakaripia mbele za kamera hakuna kinachofuata baada ya tukio.

Sijaona tatizo la mwanri
Lights Camera Action Take One wote ambao anawakaripia mbele za kamera hakuna kinachofuata baada ya tukio.
Hata me nampenda sanaMi namjua mchapa kazi sasa nikisema sana nitaonekana Nampa promo