Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Kwani wanakuaje mimi nawachukulia wale wale haijalishi alikotoka nipe sifa zao huwa wakoje
hii ndiyo kanuni yangu ya maisha, huwa sigusi au hata kumkaribia mwanamke asiye na akili ni janga, siwezi kueleza kwa maneno machache, ukamuulize Kiwia anayesimangwa kila kukicha mitandaoni atakupa uzoefu na ladha ya mwanamke asiye na akili
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"[/QUOT.E].

Ni chizi. Mamlaka yake ya uteuzi ni "kichaa".
 
Kudeal na wabongo ni kazi mzee kila unapogusa mtu kala bila kunawa hata kama hupendi watayumbisha dish tu kama sikujitoa ufahamu mi naona washayumbisha dish lake mkuu huyo ila ujumbe anafikisha kuliko wanaojifanya wastaarabu. Watanzania ni pasua kichwa kila sehemu ni mijizi pamoja na jitihada bado watu wanaiba tu
 
Tukipata mtu mchapakazi, anayeziangilia kodi zetu zinatumiwa vizuri tunaanza kulalamika.

Tunahitaji watu kama huyu waangilie pesa zetu kodi zetu zinatumika ipasavyo. Wawe wakali kwelikweli.

Mimi naona anafaaa kuwa waziri hata wa kilimo au viwanda.
Tulia unapoandika. Usiwe na nyege za mikononi, mi sijakkuelewa kabisa.
 
Tulia unapoandika. Usiwe na nyege za mikononi, mi sijakkuelewa kabisa.

Lupalilo unakosea sana kunitukana, kama huependi hoja zangu, tuzungumze kuhusu hoja husika.

Matusi kunakuwa na ukakasi fulani, eti nyege,ungesema hivi vitu mtaani ungeshakuwa maiti au kilema for life.
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Waarabu wa pemba......
 
Kweli kabisa aggrey arudie ubunge wake
2020 kuna yule boya wa Kimaasai alijifanya kumuunga mkono mkuu kwa mahaba ya kinafiki nadhani iwe isiwe lazima huyu Mwangri arudi kumfungasha vilago akafanye kazi aliyoizoea ya kuchunga ng'ombe.
 
hii ndiyo kanuni yangu ya maisha, huwa sigusi au hata kumkaribia mwanamke asiye na akili ni janga, siwezi kueleza kwa maneno machache, ukamuulize Kiwia anayesimangwa kila kukicha mitandaoni atakupa uzoefu na ladha ya mwanamke asiye na akili
Kiwia or kilewo right?
 
Back
Top Bottom