Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Mimi nimependa style yake, sio kama za hao watekaji.
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
anasifika kwa mambo ya hovyohovyo kama RPC Wa Dodoma. hovyo kabisa huyu
 
anajaribu ku absorb hasira na ukali wa ikulu ku neutralize ...kero wanazopata wananchi
 
anaburudani sana, sasa hivi viongozi wengi matamko yao yanaumiza, angalau huyu amegeuka burudani...napenda kile kipande chake cha (chikichii chikichiii)
Mkuu niko tabora nimependa huo utenzi wa chikichi chikichi afu wanarudi nyuma weka ndani ubwabwa pia weka ndanii so funny aise ila kazi anachapa sanaa
 
ohoo so imekuwa utenzi wa nyimbo kwenye harusi ama?
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Kama taarifa ya habari ya jana anavyoongea kwa vitisho na kuweka watu mdani bila hata kusikiliza,sifa zimezidi kuliko hekima!!watu wa hivi huwa hawalast kabisaaa.
 
Hakika. Jamaa ni mchapa kazi mzuri. Comedy pia tunazihitaji. Sio kila siku tuko serious tuuuuuu!
Tukipata mtu mchapakazi, anayeziangilia kodi zetu zinatumiwa vizuri tunaanza kulalamika.

Tunahitaji watu kama huyu waangilie pesa zetu kodi zetu zinatumika ipasavyo. Wawe wakali kwelikweli.

Mimi naona anafaaa kuwa waziri hata wa kilimo au viwanda.
 
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"

wanao chaguliwa wengi madishi yanakuwa yamecheza
 
Back
Top Bottom