mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
Ni fan wake leo katumia neno fyekelea mbali akielezea msaadz wa benki yz duniaHuyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"