Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,

Tuulizane mama amewezaje yote haya?

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.

Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Akili kubwa na utulivu wa Hali ya Juu.

Mama wa connect,mama wa bahati na sera Rafiki Kwa biashara.

Nilisema ilitokea bahati mbaya SSH sio Rais tutafudi kule kwenye u hovyo wa Maisha
 
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,

Tuulizane mama amewezaje yote haya?

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.

Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Unaposema watanzania Wana pesa za kula na kusaza unajua ulichokiandika? Kwa Sasa kuna mpaka mkubwa sana kati ya tabaka la juu na tabaka la chini

Unapaswa kusema tabaka la juu la watanzania Wana pesa za kula na kusaza usiseme watanzania
 
Mtu anawezaje kuweka pesa benki kama hanazo?
 
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,

Tuulizane mama amewezaje yote haya?

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.

Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Mama amefanikiwa baada ya kuongeza vyanzo vipya vya kodi kwa sehemu kubwa, kupanda kwa mapato ya ndani yanayokusanywa na kuongezeka kwa New investors kwa ndani na nje.....Asante sana Mama na bado tunazidi kuongeza kupanda
 
sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom