Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,

Tuulizane mama amewezaje yote haya?

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.

Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
 
😀 😀 😀nifosieni ata afu tatu ya kula na mie kwenye huo mgawo
 
kama kawaida tanzagiza, mnarushia tu namba bila ya maelezo ya kutosha, je, umejumuisha na inflation kwenye hizo namba zako ? kwa kukusaidia kidogo ninachomaanisha mfano, kama uliuza gari yako kwa sh milioni 1 mwaka 2000 je, leo hii mwaka 2025 gari hiyo hiyo utaiuza kwa bei ile ile ya milioni 1 uliouzia mwaka 2000?

jibu la hilo swali litakwambia kama raisi samia kaongeza hiyo amana, kapunguza au hakuna hata kilichoongezeka …
 
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,

Tuulizane mama amewezaje yote haya?

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.

Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Kazk na utu comments fupi fupi
 
Mama anatisha balaaa
 
mama Samia ni mpambanaji kwa asili
 
Zipo wapi hizo amana Mkuu? 🤣🤣 Fake statistics bakini nazo huko kwnye makaratasi ila wananchi wakisha kukataa hata uwape nini hutoboi 🤣🤣
 
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,

Tuulizane mama amewezaje yote haya?

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.

Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana

View: https://youtu.be/3rmxx-R44Gk?si=1QUyR93gu1OWXviz
 
Ufafanuzi kidogo kama hutojali
 
Hii mipasho yako inajaza servers za JF bure kaandike kwenye magazeti ya Uhuru media.
Tuondolee michosho 🤮
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom