Hivi rais Kikwete ni mtanzania kweli?

Huyo anafanana na akina Vasco Da Gama na Christopher Columbus! yeye ni Voyage kwa kwenda mbele hahahahahaahahaa Hivi hajui tuna matatizo ya umeme, Njaa yeyeni kuzurura tuuuuuuuuuuuuu
c bora hata hao safar zao zilikua na faida kwa mataifa yao,sasa huyu ndugu jk yeye cjui hzo zake zna manufaa gan kwa watz zaidi ya hasara!
 
Huyo anafanana na akina Vasco Da Gama na Christopher Columbus! yeye ni Voyage kwa kwenda mbele hahahahahaahahaa Hivi hajui tuna matatizo ya umeme, Njaa yeyeni kuzurura tuuuuuuuuuuuuu

Afadhali hawa jamaa walikuwa wanaleta insights na uvumbuzi mpya zilizorahisisha Science na Geography hivi yeye amevumbua nini mpaka sasa.

Wewe hushangai alifafaidi ni kubambikiwa gharama za kuwa mwenyeji wa mkutano wa uchumi wa Malaysia bila kujua huo mkutano ni mzigo kwa walipa kodi wa kitanzania ambao tayari tumeelemewa na gharama kubwa za Maisha. Nilifikiri atawaambia nipeni muda tukajadili then nitawaletea majibu lakini alichekelea kana kwamba ana hela zakemfukoni za kuendesha huo mkutano.

Yaani kwa ufupi tanzania tunayo hasara na wale wepesi wa hasira please kuweni wapole yote yatapita msije mkapata pressure kwa sababu ya huyu........
 
Mswahili,tena mtu wa pwani uliona wapi akaongoza nchi?!kwa mara ya kwanza imetokea tz!!
Ni sawa na pale Kenya,mtu atokee sehem za mombasa,awe rais wa Kenya,atawaongoza kina nani??
 
Samahani familia nimewiwa kumuuliza hiliswali kwa nia njema na pengine anaweza kutoa msaada kupitia wasaidizi wake
tangu aingi amekuwa akisafiri na kusafiri na katika bajeti iliopita watu walilalmika sana fedha zilizotumika
majuzi alikuwa south africa ,amerudi ameenda sudan ,kama si jana naona picha yake akiwa sychelles na mmoja wa wakeze
nimejiuliza jamani hivihyuu ni mtanzania na kama kweli huko nje mbona awamchoki

iweje raisi ratiba zako zote weewe ni kuznguka tu moshi arusha moro unasikika mei mosi jamani
embu tusaidie kwa hili mh rais??

Mkuu jamaa anatizima ndoto zake alipokua mtaani....a.k.a street dreams
 
Afadhali hawa jamaa walikuwa wanaleta insights na uvumbuzi mpya zilizorahisisha Science na Geography hivi yeye amevumbua nini mpaka sasa.

Wewe hushangai alifafaidi ni kubambikiwa gharama za kuwa mwenyeji wa mkutano wa uchumi wa Malaysia bila kujua huo mkutano ni mzigo kwa walipa kodi wa kitanzania ambao tayari tumeelemewa na gharama kubwa za Maisha. Nilifikiri atawaambia nipeni muda tukajadili then nitawaletea majibu lakini alichekelea kana kwamba ana hela zakemfukoni za kuendesha huo mkutano.

Yaani kwa ufupi tanzania tunayo hasara na wale wepesi wa hasira please kuweni wapole yote yatapita msije mkapata pressure kwa sababu ya huyu........

Mkuu jama aliingia kingi na kukubali kuandaa mkutano huo mwaka 2013
 
watuambie wanaomjua labda kweli si mtanzania, mbona hata Kabila kumbe siyo mtoto wa Desireee, ni Mnyarwanda na baba yake ameonyeshwa pichani jana na gazeti la Tanzania
 
Back
Top Bottom