Hivi rais Kikwete ni mtanzania kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi rais Kikwete ni mtanzania kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 22, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,639
  Trophy Points: 280
  Samahani familia nimewiwa kumuuliza hiliswali kwa nia njema na pengine anaweza kutoa msaada kupitia wasaidizi wake
  tangu aingi amekuwa akisafiri na kusafiri na katika bajeti iliopita watu walilalmika sana fedha zilizotumika
  majuzi alikuwa south africa ,amerudi ameenda sudan ,kama si jana naona picha yake akiwa sychelles na mmoja wa wakeze
  nimejiuliza jamani hivihyuu ni mtanzania na kama kweli huko nje mbona awamchoki

  iweje raisi ratiba zako zote weewe ni kuznguka tu moshi arusha moro unasikika mei mosi jamani
  embu tusaidie kwa hili mh rais??
   
 2. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ni mtanzania lakini ******
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mtanzania asiye na uchungu na nchi yake
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mtanzania asiye na uwezo wa kuelewa mambo,
  yaani unaweza kuwa na mkurugenzi wa kampuni akawa haoni haja ya kubadilisha muundo wa kampuni,
  ndivyo alivyo
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Atealst a agefuta cheo cha waziri wa mambo ya nje yeye akwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais na waziri wa mambo ya nje ya Tanzania. Itashangaza kuona Rais ana safari za nje ya nchi kuzidi waizri wa mambo ya nje.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anatarajia kuuleta mkutano wa malaysia mlimani city
  sosi:itv
   
 7. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio Mzalendo ndio maana nchi imekuwa shamba la bibi.
   
 8. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Rais kikwete au kiwete???
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Jamaa anazurura zurura wakati wananchi wake wanalia dhiki!..mswahili mswahili ata umpe nini abadiliki.
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Huu ndo ubaya wa kula miguu ya kuku utotoni.
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kiguu na njia huyo. Mi nadhani anapenda kupanda emirates sana..bora aende uwanja wa arsenal tu.
   
 12. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Ni mtanzania pure, nasikia kuwa baba yake ni ****** na pia nasikia kuwa mama yake ana asili ya umanyemani kigoma. sijui zaidi ya hapo
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  C nimeckia anarudi leo,hajafika 2?
   
 14. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  acha raisi kijana ale bata....sijui lini atakuja huku? Inabidi niangalie ratiba yake!

  jk must resign...
   
 15. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii hatuna Rais anayesema tunarais mi namshangaa sana.
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Huyo anafanana na akina Vasco Da Gama na Christopher Columbus! yeye ni Voyage kwa kwenda mbele hahahahahaahahaa Hivi hajui tuna matatizo ya umeme, Njaa yeyeni kuzurura tuuuuuuuuuuuuu
   
 17. K

  Kitwanad Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbukeni huu ni muhula wake wa mwisho. asipoimaliza dunia kwa mara nyingine tena atapata lini fursa hii? hata kama waziri wa fedha anatuhadaa eti wamepunguza safari za nje...ni uongo tu.......tumpige chini huyu.....kiongozi haangalii watu wake...kila siku kwa jirani!!!!!
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,285
  Likes Received: 5,639
  Trophy Points: 280
  ukooo marealle!!!
   
 19. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii mikoa kwenye RED huwa alishaachana nayo. Arusha alifika mara ya mwisho mwaka kama si Januari akaenda Monduli kuwavika nishani wanajeshi na hakupita barabarani nafikiri alitua KIA au uwanja wa Arusha ili asionekane na wana -Arusha kama ilivyokuwa kawaida yake miaka ya 2005 hadi October 2010. Kikwete ana miezi 6 kama si 7 hajakanyaga hapa Arusha kwa Godbless Lema. Kuanzia 2005 hadi 2010 kila mwezi mkuu huyu wa kaya ilikuwa lazima afike Arusha au kwa shughuli za kiserikali au zake binafsi au kutembelea marafiki zake.
   
 20. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu ,hii miguu ya kuku amekula ukubwani na ndo maana effect zake ni very active
   
Loading...