Fungua code mkuu nishapiga fonga za kutosha na kubeba poka kwahiyo hakuna cha kunitisha duniani hapaHata hizo za ndagu ni pesa halisi lakini zina masharti yake, humu watu watakupiga porojo nyingi lakini pesa nyingi unazozitaka kuzipata sio rahisi kiivyo.
Nina mifano mingi tu lakini uwe tayari kujikana nafsi na usiwe na roho ya huruma hapo ndo utazikuta hizo hela nyingi unazozitaka... Kama ww ni muoga na huna roho ngumu endelea kutafuta hela za kula tu!
Ukiendelea na huu mtazamo utaishia kupata hela za kula tuPesa ya namna hiyo nahisi hata ukiipata hutaifaidi inakuwa na majuto ndani yake
Nakuelewa vizuri sana hata mimi ndicho ninachojadili humu.Upo nje ya mada hapa mada ni kutafuta pesa tu na sio vijicent vya kununulia ist na kajumba ka vyumba vitatu
Mkuu kwamba unamaanisha ulishawahi kuwashuhudia watu wakiwa maskini kisha wakaingia kwenye ndagu halafu ghafla wakawa matajiri?Nina mifano mingi tu lakini uwe tayari kujikana nafsi na usiwe na roho ya huruma hapo ndo utazikuta hizo hela nyingi unazozitaka... Kama ww ni muoga na huna roho ngumu endelea kutafuta hela za kula tu!
📌uwe tayari kujikana nafsi na usiwe na roho ya huruma hapo ndo utazikuta hizo hela nyingi unazozitaka... Kama ww ni muoga na huna roho ngumu endelea kutafuta hela za kula tu!
Chimbo ushapewa na Anastasia21 apo juuSawa mkuu nimebadili mtazamo nipe chimbo nikachote
AmekataaChimbo ushapewa na Anastasia21 apo juu
Mkuu nitakutafuta nikishapata pesa unaonekana una madini ya kutunza pesa
Zile biashara zonazokatazwa na serikali ndizo haramu,Biashara halamu ni kama zipi mkuu
huyo hataki pesa ila anatamani pesaAmekataa
Kwakwelihuyo hataki pesa ila anatamani pesa
Mkuu fanya mpango wa hiyo connection thabit nisaidike kijana wako uzee haupo mbaliZile biashara zonazokatazwa na serikali ndizo haramu,
Pesa yake ni tamu kwelkweli lakini uhakika wake uwe na connection thabiti elewa neno "thabiti"
Mkuu kama una machine ya kuchapishia tufanye kituMimi nikiwa rais nachapisha nyingi naleta tunagawana. Hakutakuwa na masikini ndani ya nchi yangu. Kilamgonjwa asiye na huduma namchpishia zakwake na kila ombaombanamchapishia zakwake. Hakuna kilala nje kwenye nchi yangu wakati pesa tunachapisha tu