Hivi pesa inapatikana wapi?

Usijinyonge mkuu ata sisi ni kama wewe tunapitia shuda/sio shida na matatizo.

Ukitaka pesa do or die.
 
Pesa ni nini?
 
Pesa inapatikana kwa wanawake, women are the biggest spenders. Yaani uki comeup na bidhaa ya kukidhi mahitaji ya wanawake na bidhaa hiyo iwe ya bei nafuu kuliko zilizopo sokoni. Hapo utakuwa bilionea.
Mfano yule mama anayetengeneza pedi za HQ, ndio zinaongoza sokoni. Huyo mama ametengeneza generational wealth kupitia hizo pedi. Vizazi na vizazi vitafaidi matunda
 
Njoo tuuze sembe 😎 kiongozi uhakika tutaishi floor ya mwisho Burj khalifa 💔
Jirani yangu hapa ni Mbrazil alikuwa anabeba box miaka

Akapata mchongo huo kapiga trip tatu kafanikiwa zote
Ile nyumba aliyopanga kainunua na amenunua Pub na Hotel
Amesema kama maisha ndio haya basi nimeyafikia
Harudi tena kwenye sembe
Watoto wamekuwa sasa
Maisha haya
 
Aisee mtaani kila fursa Ina watu kibao sioni fursa mpya
Fursa ni zilezile ila njia za ufanyaji ni tofauti kwa hiyo ili ufanikiwe unatakiwa uwaonyeshe watu kuwa kwenye huduma yako unayotoa umeongeza vipengele fulani vya kurahisisha kitu fulani ndipo watu wataweza kuwahama wengine na kuja kwako hiyo ndio maana ya kutatua changamoto.
 
Kwahiyo kaacha biashara ya sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…