Hivi pesa inapatikana wapi?

Ulikua unapata point ngapingapi
Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa

Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa

Nimesoma hadi chuo pia olaa

Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa

Oya pesa inapatina wapi mazee
 
Ulikua unapata point ngapingapi
Aisee kuchimba madini ni kazi sana asikwambie mtu mnachimba shimo refu hadi kwenye miamba huko halafu mnaporora yani mnakuta veni haina kitu badala yake mnaosha felo la watu waliochimba zamani mnaambulia point tatu mnagawana mnanunua dona muendelee kuishi
 
Hahahahhaahhahahah hatari sana mkuu, ukute veni inanata sasa alafu haina madini, mkitoka hapo kila mtu na lugha yake hamuelewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…