Hivi Paka wana nini jamani?

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,961
3,592
Kiukweli wakuu kama umewahi fuga paka au kuishi maeneo ya uswazi utakubaliana na mimi kwamba huyu mnyama amekuwa na sifa za kipekee na mwenendo tofauti.

Nakumbuka kitambo tuko wadogo mtaani kwetu kulikuwa na mzee anauza maji ya bomba, asa watu wakienda kuchota maji pale home kwake yule paka amekuwa na tabia ya kufukuza wateja, basi mzee akawalipa washkaji wamuue yule paka.

Jamaa wakaandaa kiroba cha kumbebea, mzee akaambiwa amuundalie chakula kizuri, wakati paka yuko bize kula msosi jamaa wakamshushia tofali la kichwa, paka akazima palepale, jamaa wakabeba wakaenda kutupa maiti ya paka. Mweeh katika hali ya kutokutarajia yule paka kesho akarudi getini kwa yule mzee akiwa anabuluza kiroba chake, paka akageuka na kuwa paka kichaa mwenye kufukuza watu kila kona.

Hali imejirudia hapa mtaani kuna mshkaji anaitwa MAURUSI a.k.a MAU wiki ya pili sasa kuna huyu paka anamjia saa7 usiku dirishani kwake na kumuita jina lake MAUUU..!!....MAUUUU!!...MAAAAUUUU…!!!!!

Nliambiwa hii habari nkaona mizinguo leo nimesikia mwenyewe kwa maskio yangu halii nyauuu!!! Kama paka wengine ila anaita jina la jamaa kama lilivyo.

JAMAA ANALALAMA HUYU PAKA ANAMNYIMA USINGIZI, WAKUU WENYE EXPERIENCE NA HAYA MAMBO TUAMBIANE KUNANI KWA HUYU MDUDU.
 
Mtafute mtaalamu wa jadi akusaidie.
 
Labda ni hisia zenu ndiyo maan a mnasikia mau badau nyau... Au atakuwa paka Wa kichina huo sababu wanaigaga sauti ya nyau kama miau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom