Hivi Paka wana nini jamani?

Hivi Paka wana nini jamani?

Akumbuke vizuri bibi gani jirani alitofautiana nae, akimkumbuka amfuate mchana kweupe ampe makavu...na amwambie kabisa ""nishawaambia ndugu zangu chochote kitachonitokea unahusika"..huyo paka hatarudi.
 
Kiukweli wakuu kama umewahi fuga paka au kuishi maeneo ya uswazi utakubaliana na mimi kwamba huyu mnyama amekuwa na sifa za kipekee na mwenendo tofauti.

Nakumbuka kitambo tuko wadogo mtaani kwetu kulikuwa na mzee anauza maji ya bomba, asa watu wakienda kuchota maji pale home kwake yule paka amekuwa na tabia ya kufukuza wateja, basi mzee akawalipa washkaji wamuue yule paka.

Jamaa wakaandaa kiroba cha kumbebea, mzee akaambiwa amuundalie chakula kizuri, wakati paka yuko bize kula msosi jamaa wakamshushia tofali la kichwa, paka akazima palepale, jamaa wakabeba wakaenda kutupa maiti ya paka. Mweeh katika hali ya kutokutarajia yule paka kesho akarudi getini kwa yule mzee akiwa anabuluza kiroba chake, paka akageuka na kuwa paka kichaa mwenye kufukuza watu kila kona.

Hali imejirudia hapa mtaani kuna mshkaji anaitwa MAURUSI a.k.a MAU wiki ya pili sasa kuna huyu paka anamjia saa7 usiku dirishani kwake na kumuita jina lake MAUUU..!!....MAUUUU!!...MAAAAUUUU…!!!!!

Nliambiwa hii habari nkaona mizinguo leo nimesikia mwenyewe kwa maskio yangu halii nyauuu!!! Kama paka wengine ila anaita jina la jamaa kama lilivyo.

JAMAA ANALALAMA HUYU PAKA ANAMNYIMA USINGIZI, WAKUU WENYE EXPERIENCE NA HAYA MAMBO TUAMBIANE KUNANI KWA HUYU MDUDU.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimebaki nacheka tu hapa sina cha kukoment kwa kweli
 
Hii imenitokea mara 2 cku 1 nilikuwa naota ndoto nyevu tunapiga dem mande na mwanangu mara ghafla nikashtuka usingizin mkojo ukawa unanibana nikatoka nje nikakuta paka 3 ambao walikuja ktk zoezi la kujamiiana nilishangaa sana
 
Hii imenitokea mara 2 cku 1 nilikuwa naota ndoto nyevu tunapiga dem mande na mwanangu mara ghafla nikashtuka usingizin mkojo ukawa unanibana nikatoka nje nikakuta paka 3 ambao walikuja ktk zoezi la kujamiiana nilishangaa sana
Mara ya 2 tena nilikuja kuota ndoto km hyo eneo tofauti hyo ilikua nafanya ngono na dem tu mkojo ukanibana kutoka nje nakuta paka wa2
 
Mada ya uongo-uongo, ya kitapeli...

Wanaadamu tunaongea, mbwa wanabweka, ndege wanaimba,nk,nk... kila viumbe wana sauti zao, na hiyo mnayoijadili hapa ndio sauti ya paka.

Au mlitaka alie kama ng'ombe.., wachawi wakubwa nyie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom