Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,554
- 2,717
Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona.
Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?