Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,916
- 8,714
[emoji848][emoji848][emoji848]Achana na wanawake fanya mambo mengine.
[emoji848][emoji848][emoji848]
Na zikijaa unazimwagia wapi!!
Wewe tulia[emoji16], ishi vizuri na watu tukupe mbinu,hata awe Mwanamke anajielewa vipi,mwambie pesa ipo Ila uijie room lazima atajua unachotaka na atakuja tu hata Kama hajiuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Labda utoto unanisumbua! Unaanzaje kumwambia mtoto wa mtu anayejielewa eti, "Nina 20,000 njoo gheto niku.. halafu nikupe". Wanawake si midoli kiasi hicho! Labda kama utamwekea zaidi ya laki mbili mezani! Ambayo ni sawa na upotevu wa fedha!
[emoji109][emoji109][emoji109]Kuna mmoja kaniomba elfu 40 juzi nikasema Sina akaacha na kujibu texts,leo ninayo nataka nikainywe k vant Bora kuliko kumpa
[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe tulia[emoji16], ishi vizuri na watu tukupe mbinu,hata awe Mwanamke anajielewa vipi,mwambie pesa ipo Ila uijie room lazima atajua unachotaka na atakuja tu hata Kama hajiuzi
HahahAfter 10 years watakua washakua vibibi