Hivi ninyi wanawake mnatuchukuliaje? Mnatia hasira!

Hivi ninyi wanawake mnatuchukuliaje? Mnatia hasira!

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,602
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "Yule mwanaume nitamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae hanijali!! Namuomba hela ya kusuka bila aibu ananipa 20, 000 wakati nilimwambia 40, 000?"

Tunawapa muda, mapenzi, pesa ila hata kwenye akili zenu hatupo, mko kimasirahi zaidi!!

Mungu anawaona!!!!

Njooni kwenye thread mseme neno hata moja tu!!
 
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa?? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "yule mwanaume ntamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae hanijali!! Namuomba hela ya kusuka bila aibu ananipa 20, 000 wakati nilimwambia 40, 000?"
Tunawapa muda, mapenzi, pesa ila hata kwenye akili zenu hatupo, mko kimasirahi zaidi!!
Mungu anawaona!!!!
Njooni kwenye thread mseme neno hata moja tu!!

Poleni
 
Mkuu hujui tuu kuwanyonya wanawake ni simple mno ...

Kuwa straight forward nao,
“ unakuja ghetto unanifanyia moja mbili tatu nakupa sh kadhaa...”

Kwa Kweli utainjoi na hapo utafurahia kazi ya pesa yako.

Ukiinvest feelings akajua anaback off ndo mchezo wao.

Japo wapo wanawake wadogo walio real.
Mwanamke anaetokea poor family mwepuke, na yule ambaye yupo above 25 usitake kuwa serious nae.

Alie above 25years more likely ameumizwa once or twice...
Onyesha Pesa akupe unachotaka halafu leave her.

“The Rich have money to work for them “ ni quotation ambayo haiwork kwenye uchumi tuu bali hata kwenye masuala ya mahusiano kati ya Mwanamke na mwanaume.

Mwanaume umiza kichwa zaidi kutafuta pesa halafu kuwa mchumi na apply hiyo principle ya “fedha ikufanyie kazi “.

Pesa ina nguvu sana kwa wanawake kwa sababu ya Tamaa zao na Show off zao kwa Marafiki zao
 
Mbona yule jamaa alikutolea bastora na ulikuwa ukivhukua pesa za mwanamke. Pesa ni kila kitu
 
Siku ukianza kununua papuchi utajua kwamba uhusiano ni upotevu wa fedha na mda
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Labda utoto unanisumbua! Unaanzaje kumwambia mtoto wa mtu anayejielewa eti, "Nina 20,000 njoo gheto niku.. halafu nikupe". Wanawake si midoli kiasi hicho! Labda kama utamwekea zaidi ya laki mbili mezani! Ambayo ni sawa na upotevu wa fedha!
 
Mkuu hujui tuu kuwanyonya wanawake ni simple mno ...

Kuwa straight forward nao,
“ unakuja ghetto unanifanyia moja mbili tatu nakupa sh kadhaa...”

Kwa Kweli utainjoi na hapo utafurahia kazi ya pesa yako.

Ukiinvest feelings akajua anaback off ndo mchezo wao.

Japo wapo wanawake wadogo walio real.
Mwanamke anaetokea poor family mwepuke, na yule ambaye yupo above 25 usitake kuwa serious nae.

Alie above 25years more likely ameumizwa once or twice...
Onyesha Pesa akupe unachotaka halafu leave her.

“The Rich have money to work for them “ ni quotation ambayo haiwork kwenye uchumi tuu bali hata kwenye masuala ya mahusiano kati ya Mwanamke na mwanaume.

Mwanaume umiza kichwa zaidi kutafuta pesa halafu kuwa mchumi na apply hiyo principle ya “fedha ikufanyie kazi “.

Pesa ina nguvu sana kwa wanawake kwa sababu ya Tamaa zao na Show off zao kwa Marafiki zao
Kweli kabisa tumia pesa upate utelezi tola kwao na sio kuinvest feelings...utateseka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom