honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 236
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa?? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "yule mwanaume ntamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae hanijali!! Namuomba hela ya kusuka bila aibu ananipa 10, 000 akati anajua ni 40, 000"
Tunawapa muda, mapenzi, pesa ila hata kwenye akili zenu hatupo, mko kimasirahi zaidi!!
Mungu anawaona!!!!
Njooni kwenye thread mseme neno hata moja tu!!
Tunawapa muda, mapenzi, pesa ila hata kwenye akili zenu hatupo, mko kimasirahi zaidi!!
Mungu anawaona!!!!
Njooni kwenye thread mseme neno hata moja tu!!