Hivi nini kwa nini?

Hivi nini kwa nini?

Mi nakuangalia tu. Aliyesema nastaafu ni nani? Acha kuninukuu vibaya, nilisema naacha kukagua mabinti wasio na viwango, sasa huyu kwakuwa ana viwango mwambie a come this way eti...... Filipo nilimpa mamlaka aifanye hii kazi pale ntakapokuwa sipo. Hii itanisaidia kupunguza foleni ya wanaohitaji kukaguliwa.:mwaaah:

na kweli maana wengine tumekaa kwenye foleni hata hatufiki kwenye kukaguliwa sipati picha huo ukaguzi sijui ndo unajukuisha na ile wodi eti babu
 
Last edited by a moderator:

uje nikukague mimi mwaya, hao wengine mikono imekakamaa utafikiri msasa wa kulainisha fenicha, njoo uku upate ukaguzi wa kisasa toka kwa mzee wa zamani....
 
japo babu Asprin anasema hajaacha hiyo kazi sasa sijui ananikubalia unikague au ndo tunavunja masharti tu
 
walahi Rich woman ukimuaga huyo babu hatakuruhusu, ana aleji na wanawake wenye makalio makubwa kama wewe, bora utoroke tu uje nikukague uondokane na foleni hapo...
 
Last edited by a moderator:
Jamani nimeingia jf hivi karibuni tu lakini kuna kitu kimenikera. Hivi kwa nini hawa wanaume wa kihaya wana majivuno namna hiyo. Mara utamsikia sipendi mwanamke anayeishi uswahilini mara hujui kuongea kiingereza. Hivi kwani mie nimetafuta kiingereza au husband material wanabore sana sitaki hata kuwaona.
Hizo red zinahusiana vipi?
 
walahi Rich woman ukimuaga huyo babu hatakuruhusu, ana aleji na wanawake wenye makalio makubwa kama wewe, bora utoroke tu uje nikukague uondokane na foleni hapo...

njoo basi nitoroshe maana mm hapa hata sio mwenyeji na kweli babu hata hanioni maana kama Erickb52 anapita hapa ila anadai hanioni kwenye foleni babu Asprin na uzee ule si haoni kitu
 
Last edited by a moderator:
njoo basi nitoroshe maana mm hapa hata sio mwenyeji na kweli babu hata hanioni maana kama Erickb52 anapita hapa ila anadai hanioni kwenye foleni babu Asprin na uzee ule si haoni kitu
mkuu Erickb52 ni kweli mumempita huyu mdada/mmama? aisee kweli wenye pesa wanaogopwa,
unajua Rich woman hao jamaa hawana makomfo.. wanakuogopa jinsi ulivyo mzuri na una pesa hawajui waanzie wapi, ngoja nijiandae kuja kukukagua....
 
Last edited by a moderator:
mkuu Erickb52 ni kweli mumempita huyu mdada/mmama? aisee kweli wenye pesa wanaogopwa,
unajua Rich woman hao jamaa hawana makomfo.. wanakuogopa jinsi ulivyo mzuri na una pesa hawajui waanzie wapi, ngoja nijiandae kuja kukukagua....

Alah kumbe ni uwoga hamna shida kadr siku zinavyokwenda atazoea tu.....mi nipo tayari nakusubiri ww tu...
 
Last edited by a moderator:
Alah kumbe ni uwoga hamna shida kadr siku zinavyokwenda atazoea tu.....mi nipo tayari nakusubiri ww tu...
huhuuhuuu!
umegusa mshipa wa fahamu, ngoja nichukue mazoezi nije...subiri watoto walale, ukaguzi unafanyika nyakati za utulivu...
 
Last edited by a moderator:
mi nakusubiri Erickb52 mwenyeji wangu....
Usinambie zumbemkuu hana viwango au unainyemele wewe hii tenda?
Heheheee hii tenda naitamani ila wife karudi na alinifuna jukwaa moja ninaiba lol nasubiri msala akija rasmi
 
Back
Top Bottom