:hand::hand::hand:.....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:Safi sana kijana. Unafanya kazi yako vizuri:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
sasa ndo umchungulie mkewe wakati anaoga? usinizibe mdomo bana, wacha niseme kama nikugombana mgombane tu, teh teh teh!
Heheheee unajua si hatuoenani wivu ye anamkagua huyu mi najiandaa kurudia ukaguzi yan nahakikisha TBSsasa ndo umchungulie mkewe wakati anaoga? usinizibe mdomo bana, wacha niseme kama nikugombana mgombane tu, teh teh teh!
hahahahahahahaha! siwawezi.....Heheheee unajua si hatuoenani wivu ye anamkagua huyu mi najiandaa kurudia ukaguzi yan nahakikisha TBS
Mwambie Rich woman ajiandae Asprin kamuweka kwenye ratiba ya jumamosi baada ya kumkagua Evelyn Salt ili Slave awe na ndoa nzuri
Kijana ukiendelea na kasi hii, ntamuengua Filipo kwenye nafasi ya mkaguzi msaidizi mwandamizi wa babu afu nafasi hiyo nikupe wewe. Ye ntampa nafasi ya mkaguzi msaidizi. Hebu malizia logistics huyu Rich woman akaguliwe jumamosi baada ya ijumaa kumkagua Evelyn Salt. Hebu nipe CV ya Slave kwanza kabla sijampangia ratiba.Heheheee unajua si hatuoenani wivu ye anamkagua huyu mi najiandaa kurudia ukaguzi yan nahakikisha TBS
Mwambie Rich woman ajiandae Asprin kamuweka kwenye ratiba ya jumamosi baada ya kumkagua Evelyn Salt ili Slave awe na ndoa nzuri