Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Wewe mshauri wako ni nani?, tafuta namba zao uwaulize.. Na si JF hapa maana utakuwa unajidhalilisha.

Kama haikuhusu sio lazima ujibu. Hao wote ni member hapa JF wakitaka watakuja kujibu, au wewe ndio msemaji wao.
 
mke na mume wakiachana yule ambaye kila cku anamuongelea ongelea mwenzake ujue ndio kimemuuma au hakupata alichotarajia baada ya ule mtengano sasa anajuta wewe ni mfano sahihi!!!! ongelea yako ya ccm.

pilipili iko shamba inakuwashia nn???

dhambi ya kuuza utu wako itakutafuna sana na huko ccm hutapata chochote ushatumika sasa huna faida!!!

Acheni kufananisha visivyofanana, mnataja mambo ya ndoa na talaka yanauhusiano gani na washauri wa Dr Slaa ama Mbowe, au mnataka watu waanze kujadili ndoa zao.
 
Ulifanya juhudi gani za siri au za wazi wakti ukiwa CDM kabla hujaamua kwenda CCM?

Nilimwambia kwa mdomo na kwa maandishi Babu kuwa utaratibu anaoendelea nao sio sawa. Nikamueleza katika organizational behaviour hapaswi kudictate kila kitu na kuwajengea subordinates wake woga bali anatakiwa kuwa influence na kuwa convince kwa facts na figures.

kwa bahati mbaya hakunielewa kama ambavyo wameendelea kutonielewa.
 
Nyongeza ya hapo hata hicho kijidegree chake nadhani alikipata kwa kufanyiwa assignment na vijana ambao baada ya kazi walipata ujira wao kwa burudani aliyowapa.
Ukiangalia akili zake hawezi hata kufundisha watoto nidhamu maana ni mtu wa kuchezewa kiakili anabonyezwa kama battons na anakubali kila kitu, naweza kusema ana hana la maana jamaii inaweza kujifunza kwake. Saa hizi eti anahoji nani anamshauri Dr Slaa. Hivi kweli anaweza kuona na kuelewa kile Dr Slaa anafanya kwa akili alizo nazo?[
QUOTE=TzPride;9786855]Juliana anaajirika na aliajiriwa na Mwigulu.

Jamani kumlinganisha Dr. Slaa na Juliana Shonza hii sasa inafadhaisha hasa kwa akifanya hivyo Waberoya member muhimu JF! Juliana ni kiganga njaa tu kilichorubuniwa na CCM wakakitumia vibaya sasa hawakihitaji.

Juliana nenda ukapate ajira shule za kata, si ni mwalimu? mbona unaleta mambo ya kitoto hapa. Kijidigirii cha elimu si elimu yeyote ya kujilinganisha na Dr. Slaa, tena huna hata uzoefu wa kazi. Mdogo wangu nnenda shule kafundishe, utafanya la maana badala ya kujidhalilisha hapa.[/QUOTE]
 
Nilimwambia kwa mdomo na kwa maandishi Babu kuwa utaratibu anaoendelea nao sio sawa. Nikamueleza katika organizational behaviour hapaswi kudictate kila kitu na kuwajengea subordinates wake woga bali anatakiwa kuwa influence na kuwa convince kwa facts na figures.

kwa bahati mbaya hakunielewa kama ambavyo wameendelea kutonielewa.

Ulipokuwa CDM ulikuwa unaionaje CCM? Uliwahi kuwa mwanaCCM kabla hujajiunga CDM?
 
Nilimwambia kwa mdomo na kwa maandishi Babu kuwa utaratibu anaoendelea nao sio sawa. Nikamueleza katika organizational behaviour hapaswi kudictate kila kitu na kuwajengea subordinates wake woga bali anatakiwa kuwa influence na kuwa convince kwa facts na figures.

kwa bahati mbaya hakunielewa kama ambavyo wameendelea kutonielewa.

Wewe ni kilaza tu uliyepata wastani mdogo sana kwenye hicho kibachelor chako cha elimu, huwezi kupata fursa ya kumshauri dr. Slaa kwa jinsi yeyote ile. Hata ufaulu wako wa kidato cha sita unadhihirisha ukilaza wako. Tafuta mme uolewe kuliko kukubali kuchezewa na vilaza wenzako Nchemba na Nape. Yule mwalimu mwenzako mbona amepotea sana?
 
Kama haikuhusu sio lazima ujibu. Hao wote ni member hapa JF wakitaka watakuja kujibu, au wewe ndio msemaji wao.

Umevurugwa we mtoto wa KIKE, katafute mtu kukusaidia umeshindwa kujitawala mwenyewe.
 
Cr.ap kama wewe umfunze nani siasa??ungekuwa kichwa ungefukuzwa Chadema??huoni vyama vingine mpaka kila siku ukazanie Chadema??huna akili vizuri wewe msichana ndio maana watu wanakutukana tu kwa upumbavu wako....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom