Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Juliana shonza..uliaribu maisha yako sana kutoka cdm..pole sana
 
Huyu dada poa kwa nini asitafute mume, frustrations zimemzidi.
 
Cr.ap kama wewe umfunze nani siasa??ungekuwa kichwa ungefukuzwa Chadema??huoni vyama vingine mpaka kila siku ukazanie Chadema??huna akili vizuri wewe msichana ndio maana watu wanakutukana tu kwa upumbavu wako....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hivi ni dhambi mtu kuitaja Chadema..? Au kuna baadhi ya watu tu ndio wenye haki miliki ya kuitaja. Na sijaitaja katika ubaya nimewapa ushauri ambao mkiwa tayari mnaweza kuufanyia kazi hata ikiwa kimya kimya ila najua mtaufanyia kazi.

Na kuhusu kutukanwa, najua sio kwa sababu naitaja chadema bali ni kwa sababu watu wanalipwa kwa kunitukana. Hivyo ni ajira hao inauowafanya waonekane wa maana hapa mjini kwa posho za Ufipa kwa kunitukana.

Sitaacha kuandika ama kuchangia hapa JF kwa kuogopa wajinga wajinga waliotumwa kutukana. Hili ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anayo haki ya kuchangia na kuandika.

ila kwa aina hii ya ufuasi wenu wa kuambiwa mtukaneni fulani nanyi mnakuja kuporomosha matusi hapa sio kitu chema kabisa. Vijana sampuli yako ni janga kwa Taifa.
 
Mshauri wa Dr Slaa ni Dr Sugu na mshauri wa Mbowe ni Kwa fujo Dj's na Dj Steve B
 
Hivi ni dhambi mtu kuitaja Chadema..? Au kuna baadhi ya watu tu ndio wenye haki miliki ya kuitaja. Na sijaitaja katika ubaya nimewapa ushauri ambao mkiwa tayari mnaweza kuufanyia kazi hata ikiwa kimya kimya ila najua mtaufanyia kazi.

Na kuhusu kutukanwa, najua sio kwa sababu naitaja chadema bali ni kwa sababu watu wanalipwa kwa kunitukana. Hivyo ni ajira hao inauowafanya waonekane wa maana hapa mjini kwa posho za Ufipa kwa kunitukana.

Sitaacha kuandika ama kuchangia hapa JF kwa kuogopa wajinga wajinga waliotumwa kutukana. Hili ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anayo haki ya kuchangia na kuandika.

ila kwa aina hii ya ufuasi wenu wa kuambiwa mtukaneni fulani nanyi mnakuja kuporomosha matusi hapa sio kitu chema kabisa. Vijana sampuli yako ni janga kwa Taifa.

hawa vijana wa BAAVICHAA wamekorogwa.
 
Naendelea kuwafunza Siasa, ikiwa tu mpo tayari kujifunza.

"Nimeanza kwa utangulizi huo nikienda sambamba na anuani ya thread yangu juu ya washauri wa viongozi wawili wa juu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema). Nimefikia hatua ya kujiuliza hayo kutokana na mwelekeo mbovu na kile kinachodhihirika kuwa kufa kwa Chadema kama chama kikuu cha upinzani hapa nchini.

chadema inakufa na inakufa kwa kasi ambayo haijatarajiwa, inakufa haraka sana. Kwani sasa ni kawaida kila uchao kusikia kuna mmoja wa kiongozi anaachia ngazi achilia mbali wanachama ambao wanarudisha kadi kwenye mikutano na wale ambao wamwamua kutupa kadi zao kimya kimya.

Hali ni mbaya kwani hata wale ambao hawakuwa wanachama bali walivutiwa na chama hiko huku mitaani nao wamepoteza mwelekeo na kukosa matumaini na Chama iko."

Unao ushahidi wa haya maneno yako kwa kutumia utafiti au unajiropokea tu kuwapendezesha wana ccm??
 
umalaya ndo unaomsumbua Juliana, hakuna lolote, huyu ndo aliyemponza Mwampamba kwa ushauri wa hovyo
 
Mimi nafikiri hili swali ungeulizwa wewe mwenyewe Juliana, kwani kimsingi washauri wako ndo waliokupoteza kisiasa.

Kutoka cdm ukakurupuka kwenda ccm it was a grave mistake in your political life.

Mimi nakushauri ulearn kwa akina Kafulila, machali na wengineo.

Pia jifunze kwa akina kaburu, Ngawaiya nawengineo. Ccm kuna vijana wamekulia huko tangia wakiwa mimba kwenye tumbo la mama yao, sasa sidhani kama wewe wakuja utapenyeza wapi.

Chapili, jaribu sana kuwa mstaarabu, sioni sasbabu yeyote hata kama ulikosana na Mbowe au Slaa upite mitaani ukiwasema vibaya, hiyo tunaiita political immaturity.

Wewe umeshaona Lowassa akimsema kikwete vibaya au zitto au mkumbo akiwasema Slaa na Mbowe vibaya?

Mimi ni mwana ccm lakini the way unavyo act inatia wasiwasi hata siku ukiondoka ccm utaanza kutusema vibaya.

Act carefully my sister.
 
Hivi ni dhambi mtu kuitaja Chadema..? Au kuna baadhi ya watu tu ndio wenye haki miliki ya kuitaja. Na sijaitaja katika ubaya nimewapa ushauri ambao mkiwa tayari mnaweza kuufanyia kazi hata ikiwa kimya kimya ila najua mtaufanyia kazi.

Na kuhusu kutukanwa, najua sio kwa sababu naitaja chadema bali ni kwa sababu watu wanalipwa kwa kunitukana. Hivyo ni ajira hao inauowafanya waonekane wa maana hapa mjini kwa posho za Ufipa kwa kunitukana.

Sitaacha kuandika ama kuchangia hapa JF kwa kuogopa wajinga wajinga waliotumwa kutukana. Hili ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anayo haki ya kuchangia na kuandika.

ila kwa aina hii ya ufuasi wenu wa kuambiwa mtukaneni fulani nanyi mnakuja kuporomosha matusi hapa sio kitu chema kabisa. Vijana sampuli yako ni janga kwa Taifa.

Juuliana mama jaribu kwanza kukaaa naa kufikiria na ikiwezekana rudi kwa viongozi wa Chadema kawaombe msamahaa na urudi kwenye chama ushauriwangu tu huu kwa mapenzi yangu kwako kwa sababu kwenye dira za siasa umepotea kabisaaa na sasa hivi husisiki, ila nilichogundua unataka jina lako lisipoteee kwa kutumia jina la Chademaa kwa ajili ulikuwa mwanachama.

Mbona husemi kuhusu CUF ina maana wenyewe hawana mapungufu ila CHADEMA ndio wenye mapungufu kila siku si ndio???Na nani atakaa alipwe ili akutukane wewe inawezekana kweli??mtu alipwe hela ili aende kumtukana JULIANA??

Je umeajuaje me kijanaa???Me nakupa ushauri tu ambao ukikaa chini utakaa na kuufikiria kwa makini sanaaa, nakuomba endapo unataka uwe na maisha ya kueleweka na kamaa ume base kwenye siasa basi kili makosa uliyoyafanya na urudi kwenye chama, ila ukisema watu wanalipwa kukutukana unakuwa too low thinking nani atalipwa akutukane wewe au nani anakufahamu??watu wanakutukana kwa ajili ya c.rap thread unazoanzisha.

Nipo humu ndani zaidi ya miaka 7 sasa na sijawahi kupigwa ban so jaribu kuangalia hapo juu kama kuna sehemu nimekutukana
 
"Nimeanza kwa utangulizi huo nikienda sambamba na anuani ya thread yangu juu ya washauri wa viongozi wawili wa juu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema). Nimefikia hatua ya kujiuliza hayo kutokana na mwelekeo mbovu na kile kinachodhihirika kuwa kufa kwa Chadema kama chama kikuu cha upinzani hapa nchini.

chadema inakufa na inakufa kwa kasi ambayo haijatarajiwa, inakufa haraka sana. Kwani sasa ni kawaida kila uchao kusikia kuna mmoja wa kiongozi anaachia ngazi achilia mbali wanachama ambao wanarudisha kadi kwenye mikutano na wale ambao wamwamua kutupa kadi zao kimya kimya.

Hali ni mbaya kwani hata wale ambao hawakuwa wanachama bali walivutiwa na chama hiko huku mitaani nao wamepoteza mwelekeo na kukosa matumaini na Chama iko."

Unao ushahidi wa haya maneno yako kwa kutumia utafiti au unajiropokea tu kuwapendezesha wana ccm??

Kuna mambo hayahitaji utafiti..hata kwa macho tu unaona hapa biashara imekwisha.

Ikiwa ofisi za wilaya na kata zinafungwa kwa maana ya watendaji wanajiunga na CCM kila uchao kuna nini hapo..

Ikiwa magari na mapikipiki ya M4C yanapigiwa misele tu kwenye baa za wachaga ubungo na kimara wakati wilayani hakuna hata mikokoteni mnategemea nini...

Ikiwa chama hakina makamu mwenyekiti, hakina naibu katibu mkuu, hakina makamu mwenyekiti wa jumuiya yake ya vijana unategemea nini ...

Hivi bado tunahitaji utafiti kujua kuwa jahazi ndo limeshakwenda mrama.
 
Mimi nafikiri hili swali ungeulizwa wewe mwenyewe Juliana, kwani kimsingi washauri wako ndo waliokupoteza kisiasa.

Kutoka cdm ukakurupuka kwenda ccm it was a grave mistake in your political life.

Mimi nakushauri ulearn kwa akina Kafulila, machali na wengineo.

Pia jifunze kwa akina kaburu, Ngawaiya nawengineo. Ccm kuna vijana wamekulia huko tangia wakiwa mimba kwenye tumbo la mama yao, sasa sidhani kama wewe wakuja utapenyeza wapi.

Chapili, jaribu sana kuwa mstaarabu, sioni sasbabu yeyote hata kama ulikosana na Mbowe au Slaa upite mitaani ukiwasema vibaya, hiyo tunaiita political immaturity.

Wewe umeshaona Lowassa akimsema kikwete vibaya au zitto au mkumbo akiwasema Slaa na Mbowe vibaya?

Mimi ni mwana ccm lakini the way unavyo act inatia wasiwasi hata siku ukiondoka ccm utaanza kutusema vibaya.

Act carefully my sister.
Nitakujibu kwa ufupi tu...hauijui chadema kuliko ninavyoijua.
 
Dada sijakuuliza kuijua chadema au laa.

Issue ni personal attack, unaweza kuiattack chadema lakini lakini si mtu!

Ningekushauri ujifunze siasa kwa katibu mkuu Kinana, that guy is role model. Tofauti na Nape au wewe yeye anazungumzia pure politics za chama, na huwezi sikia hata siku moja akimsema Slaa au Mbowe au Lipumba wala Mbatia!
 
Juuliana mama jaribu kwanza kukaaa naa kufikiria na ikiwezekana rudi kwa viongozi wa Chadema kawaombe msamahaa na urudi kwenye chama ushauriwangu tu huu kwa mapenzi yangu kwako kwa sababu kwenye dira za siasa umepotea kabisaaa na sasa hivi husisiki, ila nilichogundua unataka jina lako lisipoteee kwa kutumia jina la Chademaa kwa ajili ulikuwa mwanachama.

Mbona husemi kuhusu CUF ina maana wenyewe hawana mapungufu ila CHADEMA ndio wenye mapungufu kila siku si ndio???Na nani atakaa alipwe ili akutukane wewe inawezekana kweli??mtu alipwe hela ili aende kumtukana JULIANA??

Je umeajuaje me kijanaa???Me nakupa ushauri tu ambao ukikaa chini utakaa na kuufikiria kwa makini sanaaa, nakuomba endapo unataka uwe na maisha ya kueleweka na kamaa ume base kwenye siasa basi kili makosa uliyoyafanya na urudi kwenye chama, ila ukisema watu wanalipwa kukutukana unakuwa too low thinking nani atalipwa akutukane wewe au nani anakufahamu??watu wanakutukana kwa ajili ya c.rap thread unazoanzisha.

Nipo humu ndani zaidi ya miaka 7 sasa na sijawahi kupigwa ban so jaribu kuangalia hapo juu kama kuna sehemu nimekutukana
Inaonekana we ni mgeni kwenye siasa na bado haujui chochote kuhusu trend ya maisha yangu kisiasa.

Ni kama vile haufikiri sawasawa au umeamua kujitia upofu. Hivi kwa mfano katika thread hii ni kipi kibaya nimekiandika kinachopaswa nijibiwe kwa matusi na maneno ya kishenzi..?

Tatizo ni kwamba mnajaribu kujitetea katika mambo ambayo kila mmoja anaona wazi kuwa mnatumwa kuja kuyafanya hayo mnayoyafanya hapa.
 
Dada sijakuuliza kuijua chadema au laa.

Issue ni personal attack, unaweza kuiattack chadema lakini lakini si mtu!

Ningekushauri ujifunze siasa kwa katibu mkuu Kinana, that guy is role model. Tofauti na Nape au wewe yeye anazungumzia pure politics za chama, na huwezi sikia hata siku moja akimsema Slaa au Mbowe au Lipumba wala Mbatia!

Haya maneno ingekuwa bora ukawaeleza viongozi wako wa Chama. Nafikiri mbowe na slaa na akina mnyika wanapaswa wajifunze kutoka kwa Kinana.

Mimi niko huku naendelea kujifunza mengi kutoka kwake ila natamani hii nafasi waipate pia akina Mbowe, Slaa na Mnyika kwani wao ndio ma-king wa character assassination, kazi yao ni kutukana watu na kufanya personal attack..kazi yao ni kupita kumtukana Rais kuwa Dhaifu na kutukana wengine mpaka wanajikuta wanatukanana wenyewe kwa wemyewe.

Mh. TUNDU juzi tu hapa kamtukana mpaka marehemu Baba wa Taifa kutokana na tabia zenu za kuzoea matusi na personal attack mpaka mnatukana na maiti na waasisi ambao wamefanya kazi kubwa kulijenga hili Taifa.

Hauwezi kusema lolote nikakuelewa kuhusu personal attack kwenye siasa za hawa jamaa, mimi wananitumia watu wanitukane hapa JF na unashuhudia na mara nyingi wananitumia meseji zq simu wakinitukana na kunitisha au unataka siku moja nizilete hapa meseji zao kisha waseme nimezitengeneza mwenyewe...

Na ndio maana nikakuambia wewe hauwajui chadema na hawa viongozi wake wasiojielewa.
 
Unajua Juliana tatizolako hujajua unataka nini. Inaonekana unaipenda chadema sana nabado moyowako uko chadema il a hasira na ushauri mbaya umekuleta kuja kujiunga ccm il a wewe bado ni chadema piwa.

Ila nikufundishe kitu, unatakiwa kuwa na utashi wako mwenyewe. Mimi bado naamini Lisu hakumtukana Nyerere ila ni propaganda tu.

Na kimsingi hii ipo sana kwenye siasa kwamba unatafuta kitu umapande wapili umekiongea alafu unabadilisha ule mtizamo nakutumia kama mtaji wakisiasa.

Nyerere hakuwa Mungu, na kunamengi alikosea kama binadamu. Kwahiyo kum criticize sioni kama ni tatizo.

Hiyo ndo maana yakuwa na utashi, critic! Sio kusema ndio kila kitu.
 
Kuna mambo hayahitaji utafiti..hata kwa macho tu unaona hapa biashara imekwisha.

Ikiwa ofisi za wilaya na kata zinafungwa kwa maana ya watendaji wanajiunga na CCM kila uchao kuna nini hapo..

Ikiwa magari na mapikipiki ya M4C yanapigiwa misele tu kwenye baa za wachaga ubungo na kimara wakati wilayani hakuna hata mikokoteni mnategemea nini...

Ikiwa chama hakina makamu mwenyekiti, hakina naibu katibu mkuu, hakina makamu mwenyekiti wa jumuiya yake ya vijana unategemea nini ...

Hivi bado tunahitaji utafiti kujua kuwa jahazi ndo limeshakwenda mrama.

Wewe haukujiunga kama wengine bali wewe ulifukuzwa na ndio ukajipendekeza jwa hao waizi waragai kama wewe
 
Unajua Juliana tatizolako hujajua unataka nini. Inaonekana unaipenda chadema sana nabado moyowako uko chadema il a hasira na ushauri mbaya umekuleta kuja kujiunga ccm il a wewe bado ni chadema piwa.

Ila nikufundishe kitu, unatakiwa kuwa na utashi wako mwenyewe. Mimi bado naamini Lisu hakumtukana Nyerere ila ni propaganda tu.

Na kimsingi hii ipo sana kwenye siasa kwamba unatafuta kitu umapande wapili umekiongea alafu unabadilisha ule mtizamo nakutumia kama mtaji wakisiasa.

Nyerere hakuwa Mungu, na kunamengi alikosea kama binadamu. Kwahiyo kum criticize sioni kama ni tatizo.

Hiyo ndo maana yakuwa na utashi, critic! Sio kusema ndio kila kitu.
nadhani wewe ndio haujui mimi nataka nini...

then kuhusu matusi ya Mh TUNDU kila mmoja ameyasikia, labda muulize mzee Mtei kwanini alimjibu Lissu waziwazi.
 
Back
Top Bottom