Hivi ni kweli?

Hivi ni kweli?

Mi nasema ukweli tu....ila wengi waoga wa kusema ukweli kwasababu walio wengi wana fear ukweli na ndio maana wanajikweza mfano mtu wako akwambie nilicheat au nilikuwa malaya hivi kweli utataka kuendelea nae?

Kama ulicheat au kufanya umalaya ndani ya uhusiano wetu hapo lazima nitakupiga kibuti.
 
Kama ulicheat au kufanya umalaya ndani ya uhusiano wetu hapo lazima nitakupiga kibuti.

Si unaona sasa na ndio maana wengi wanaficha kuhusu maswala hayo nadhani umenielewa kwasababu walio wengi hawakubali suala la kucheat au umalaya ni inferiority
 
Si unaona sasa na ndio maana wengi wanaficha kuhusu maswala hayo nadhani umenielewa kwasababu walio wengi hawakubali suala la kucheat au umalaya ni inferiority

Vp mwanzo wa mahusiano utaficha pia?
 
Sijawahi kusikia mwanamke ameachana na mwanaume zaidi ya cheating! Ivi wanaume wote tuna cheat?

Ha ha ha most of men na pia hilo ndo kosa kubwa utamu wake kupewa mwingine
 
Hivi unaweza kuomba kazi kwa kueleza mapungufu yako:der:...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom