Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Mpumbavu anaogopa kuitwa mpumbavu kuliko kuwa mpumbavu.

Ndiyo maana wajanja walijua ukitaka kumshikia akili aamini Mungu, mpe aya inayosema "Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu".

Yani, wewe unaogopa kuitwa mpumbavu kuliko unavyoogopa upumbavu wenyewe, ndiyo maana ukipewa sababu za kimantiki kukuonesha Mungu hayupo, bado unakubali maneno yaliyoandikwa maelfu ya miaka na watu usiowajua kuliko logic ya leo.

Kumwona Yesu leo hakuko logically consistent na the well established body of work of current science, labda kama kwenye movie.

Inayumkinika zaidi ukiniambia mtu ana magonjwa ya akili na ka hallucinate akafikiri kamuona Yesu, au mtu anafanya udanganyifu apige sadaka za atu, kuliko kuniambia mtu kamuona Yesu.

Kuhusu mimi kuwa kwenye imani hiyo, imani si kitu muhimu katika ulimwengu wa fact, unaruhusiwa kuamini chochote, lakini, imani yako haibadilishi fact.

Nimetoa mfano hapo juu, unaweza kuamini wewe ni Samia Suluhu Hassan, rais wa Tanzania, lakini kama wewe si Samia Suluhu Hassan, rais wa Tanzania, imani yako haikufanyi uwe Samia Suluhu Hassan.

Sasa kwa nini unaipa imani kipaumbele badala ya kuangalia facts?

Let’s go through some evidence. God is not quiet. He announced Himself when He created the universe. The Bible says, “Since the world was created, people have seen the earth and sky. Through everything God made, they can clearly see His invisible qualities—His eternal power and divine nature. So they have no excuse for not knowing God” (Romans 1:20).
If the universe was created by some random accident then there is no reason why it operates in an orderly manner and adheres to multiple laws. Yet, our world has structure—so much so
 
Let’s go through some evidence. God is not quiet. He announced Himself when He created the universe. The Bible says, “Since the world was created, people have seen the earth and sky. Through everything God made, they can clearly see His invisible qualities—His eternal power and divine nature. So they have no excuse for not knowing God” (Romans 1:20).

If the universe was created by some random accident then there is no reason why it operates in an orderly manner and adheres to multiple laws. Yet, our world has structure—so much so the solar system was named accordingly. The reason why the universe obeys the laws of gravity, physics, energy and many others is because it was designed by a logical and orderly God
Let’s go through some evidence. God is not quiet. He announced Himself when He created the universe. The Bible says, “Since the world was created, people have seen the earth and sky. Through everything God made, they can clearly see His invisible qualities—His eternal power and divine nature. So they have no excuse for not knowing God” (Romans 1:20).
If the universe was created by some random accident then there is no reason why it operates in an orderly manner and adheres to multiple laws. Yet, our world has structure—so much so the solar system was named accordingly. The reason why the universe obeys the laws of gravity, physics, energy and many others is because it was designed by a logical and orderly God...
1.Unasema God is not quiet, kwani nani kasema God is quiet? Unajibu swali ambalo hujaulizwa, wakati maswali ambayo umeulizwa hujayajibu.

2. Unasema order must be created, it cannot come out of random chance. Unajua hapa unaweka argument kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo? Kwa sababu kama Mungu naye ni order iliyo higher than us, lazima naye awe created, na creator wake awe created, ad infinitum, ad absurdum. Hapo hakuna Mungu, kuna endless chain of cause and effect tu.

3. Unanukuu Biblia, kitabu kilichojaa contradictions za kijinga lukuki ambazo nikikuwekea hapa huwezi kuzitatua, hivyo kama unaona hiyo ndiyo golden source yako, nakuona una matatizo mengi sana.
 
Bado hujajibu chochote zaidi ya kushindwa kutoa hizo unazo ita facts, na kuendelea kuuliza maswali ambayo hayana kichwa wala miguu. Nilishakwambia na nakwambia tena na tena kwamba hakuna ANUNAKIS yupo Mungu mmoja tu katika utimilifu wake.
 
Wewe ndiye unasema Mungu yupo, lakini huwezi kuthibitisha yupo.

Nakuonesha Mungu wako ana contradictions, lakini hata huzijibu, kama hata unazielewa.

Tatua hii Epicurean Paradox kwanza kabla hujajiaibisha zaidi, kama utaielewa. I suspect huwezi kuielewa.

epicurean_paradox.jpg
 
Umepotosha pakubwa sana!.
Kama utakataa utume wa hao wanaojiita manabii itabidi pia uukatae utume wa muuaji wa watu waliofuata dini ya Yesu, ambaye si mwingine bali ni Paulo aka Sauli.

Matendo 9:3

"Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu,
2 akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu.
3 Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?
5 Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
6 Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
7 Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu."
 
Wewe ndiye unasema Mungu yupo, lakini huwezi kuthibitisha yupo.

Nakuonesha Mungu wako ana contradictions, lakini hata huzijibu, kama hata unazielewa.

Tatua hii Epicurean Paradox kwanza kabla hujajiaibisha zaidi, kama utaielewa. I suspect huwezi kuielewa.

View attachment 2588105
Now i understand where this nosense of yours come from
..The first thing that must be understood is that Epicrus was not talking about the Christian god as Christianity was a few hundred years away from occurring. Living between 341 BC and 270 BC it is most likely that Epicurus was actually referring to gods of the Greek community. For now let me spare you i have work to do.
 
The name is Epicurus.

You lack an understanding that he was talking about the all knowing, all capable and all loving God, which is the Christian God. Or, do you not understand that these are the characteristic of the Christian God?

Your lack of abstract thinking amaze me, maybe this is why you can't follow my arguments.

For fucks sake, am I arguing with a Christian who doesn't even know the characteristics of a Christian God?

That is one, but also, do you mean to tell me that the Christian God did not exist before the age of Epicurus?

If so, where was he? Was he dead? Was he not born yet?

Or perhaps he has not existed at any point in time?

You are seriously arguing that Epicurus couldn't have been talking about your God, because your God wasn't there?

You do understand that the Christian God, per scriptures, is older than the supposed earthly years that Jesus lived right? You do know that there is an old testament in Christianity right?

You do know that this old testament predated Epicurus right?

I feel like this debate is way over your ability and you are not up to the requisite level of competency to engage me squarely.
 
Nina experience huyo ya kumuona na kusikia sauti ya mwenye haki si chini ya mara 5 toka nikiwa mdogo ila kwa kuwa kizazi hiki kimeamua kujitoa ufahamu na kupinga uwepo wa Mungu utaitwa nabii wa uongo. Sijui kuunga link ila nina ushuhuda wangu huku japo sijaumalizia.
 
Kwahiyo ni hao tu waliovuviwa roho mtakatifu? Siku hizi watu hawavuviwi na roho mtakatifu? Hebu acha bhana hizo.

Acha kutukana watu. Wewe upo na imani yako, hawakusumbui. Waache na imani yao.

Kama unaona imani yako ni sawa endelea nayo lakini usiwapangie wengine.

Kama kitabu chako kinakataza kukutana na Yesu au Malaika waache wao wapo na vitabu vyao.
Hakuna tena wanaovuviwa na roho mtakatifu ili kuongeza wala kupunguza chochote kwenye Biblia, Biblia imeshajitosheleza na haihitaji kuongezwa au kupunguzwa chochote kimaana!.

Suala ni uongo wa hovyo hovyo. Mtu una njaa hujala, unaona maruwe ruwe yako unasingizia mara malaika au Yesu kakutokea na umeongea naye.

Halafu ukiulizwa details zaidi za uthibitisho kona kona zinakuwa nyingi. Kenge wa namna hii umefika wakati wa kukomeshwa kwa tabia hizi.

Huwezi kukurupuka tu from nowhere na kumsingizia Yesu au malaika kakutokea, ten kienyeji enyeji tu eti nimemuona live. Live ya nyoko au?

Kumbe hata Biblia wewe si kitabu chako cha muongozo, nimepata picha hata huyo malaika kama kweli ALIKUTOKEA, hakuwa anatoka kwa MUNGU MKUU.

Mnatakiwa kuanza kusakwa na kuhojiwa.
 
Back
Top Bottom