Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Kama unafanya meditation mambo haya ni ya kawaida sana.

Unaweza ukanya Astral Projection.
Mimi mbona nafanya hivyo mara kibao tu. Ninaweza nikaondoka kwenye mwili wangu na kuuona pale pembeni.

Kuna kitu kingine kinaitwa Lucid Dreaming unaweza kusafiri ukiwa kwenye ndoto na kuona yatakayotokea kesho.

Wale wanaosema ni matatizo ya akili huenda ni wazembe na wavivu wa kuujua Ulimwengu.

Tofauti na Physics kuna Metaphysics.

Leta maswali nitajibu na kuonesha jia za kufikia kuonana na Malaika, Yesu, Mizimu au Watu wa zamani waliokufa.
 
Yesu haji physically ila kuna mazingira yanakukuta kama kwenye ndoto au maono au unaomba unasikia sauti. kujua ni Yesu kweli wa nazareth au wa tongereni ndio shida. kama mizimu inaweza kumtokea mtu kwanini Yesu asiweze?

Uyo yesu wa tongeren
 
Kuna mazingira mawili unapotokewa na kitu ukathibitisha kwamba ni kweli basi kile kitu ulishakijua kabla ina maana hao watu sura ya yesu wanaijua na wamehakikisha.

kingine kuna mauzauza kama watu wa hallucinations ukichanganya na kufikiria kitu kwa sana baada kinweza kuja hata ndotoni kama ndoto ila unakuwa kama wewe upo macho vile ...
 
Kwa hao aliwatokea tuu ila kwa huyu mama anaishi nae na amezaa nae watoto
Screenshot_20230414-141430~2.jpg
 
...Wanamchezea Yesu! Hakuna anayethubutu kusema amekutana na Mohamed S.A.W ! [emoji848]
Muhammad utakutanaje nae wakati kafa kazikwa na kaburi lake lipo?
Labda wakutane na mzimu wake.
Ila Yesu yupo hai na kaburi lake lipo wazi kwani alifufuka na aliondoka pia na ule mwili wake wa kidunia kwa kugeuzwa, mbela za mashuhuda.
 
Mambo ya Mungu ni beyond thinking. Ukijifanya unafikiria kwa akili za kibinadamu utakosa ushike wapi lakini ukiamini (IMANI) utaona inawezeka.Unachoona hakiwezekani kwa binadamu kwa Mungu kinawezekana.
 
Mimi nilienda mbinguni na niliona kuzimu live nasio uongo nilienda nikiwa mdogo 9 years kama upo serious nitakuambia ila ni very serious nasio uongo
Kuzimu unaijua kweli? Hakuna kitu Kama hicho kwa mujibu wa Maandiko,
 
Kama watu mnaamini Paulo alitokewa na Yesu, mnaamini Musa alitokewa na Mungu na pia mnaamini kwamba Mohamed alitokewa na allah bila ushahidi wowote kwa nini msiamini kwamba Yesu alimtokea Nabii Mkuu Geo Davie ama Zumaridi?

Watu wa dini mmejaa unafiki, mnachagua cha kuamini na cha kuacha.
 
Mambo ya Mungu ni beyond thinking. Ukijifanya unafikiria kwa akili za kibinadamu utakosa ushike wapi lakini ukiamini (IMANI) utaona inawezeka.Unachoona hakiwezekani kwa binadamu kwa Mungu kinawezekana.
Hakuna kitu kama hicho. Mambo gani ya mungu ni beyond thinking, labda kwa thinking capacity yako ila hayo mambo hayana ugumu wowote.

Ni mambo ya kitapeli kama utapeli mwingine.
 
Back
Top Bottom