Hahah sio hivyo tafsiri ya hiki andiko kwamba hezekia hakumuona Physically nataman nikueleweshe vizuri ila nipe muda nikae nitulieSoma biblia kijana acha kutoa vitu kichwani
Isaya je?
Isaya 6:1-8
"Mnamo mwaka aliofariki mfalme Uzia, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi kilicho juu na cha fahari. Pindo la vazi lake lilienea hekaluni mote, na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia. Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi: “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu, ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.” Sauti yao iliitikisa misingi ya milango ya hekalu, nalo likajaa moshi . . . . . . . . . . . "
Kweli nakwambia huwezi kuamini Jesus alikua very polite ila alikua anasikitika sana namna watanzania wanavoishi kwenye umasikini na ccm bado inaendelea kutawala.Duuuh
Kijana taratibu punguza ujingaSoma biblia kijana acha kutoa vitu kichwani
Isaya je?
Isaya 6:1-8
"Mnamo mwaka aliofariki mfalme Uzia, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi kilicho juu na cha fahari. Pindo la vazi lake lilienea hekaluni mote, na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia. Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi: “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu, ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.” Sauti yao iliitikisa misingi ya milango ya hekalu, nalo likajaa moshi . . . . . . . . . . . "
Yes! Kwa mujibu wa maandiko Yesu ni roho baada ya kufa na kufufuka, na huwezi kumuona mubashara kirahisi rahisi tu na kuja kudanganya watu. Ni njaa na maruwe ruwe tu!. Wewe sema stori yako ilikuwa na agenda ya kuwasilisha somo la astral projection tu. Hivi mnamchukuliaje Yesu nyie?! Mbona hamkomi kuongea uongo? Mnapata faida gani?!Sasa kama hujabisha unauthibitisho upi kama hawajakutana nao? Kama wewe hujakutana na isiwe sababu yako kufanya conclusion wakati wewe huna uwezo.
Do you have any proof kuonesha hawajakutana nao?
NaaminiWajinga ndiyo waliwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaaahKweli nakwambia huwezi kuamini Jesus alikua very polite ila alikua anasikitika sana namna watanzania wanavoishi kwenye umasikini na ccm bado inaendelea kutawala.
umemsahau hyu kiumbe Zumarid yeye aliktana na paulo mbingun[emoji28][emoji28]Ni siku mpya leo. Habarini!
Ndugu Waislamu nawatakia muendelezo mwema wa mfungo wa Ramadan!.
Tukianza na member mmoja humu akiitwa BOOM1, yeye anasema kuwa alitokewa na Yesu Kristo akiwa Mtwara na akaambiwa "fanya kazi yangu". Japokuwa huyu BOOM1 alisimulia kana kwamba ilikuwa ni kawaida kwake na hakushangaa sana, hii inavuta 'attention' kutoka kwa yeyote mwenye 'reasoning' na akili timamu kuhoji.
Anasema alimuona mtu kavaa mavazi meupe anameremeta huku akitabasamu, ila hakusema alijua vipi kuwa ni Yesu Kristo mwenyewe.
Tuje kwa huyu mwingine anaitwa Venus Star, huyu anasema miaka 35 iliyopita alitokewa na malaika akiwa Ilboru, anajisomea darasani usiku, yaani 'prepo', akachukuliwa mpaka sehemu wafu walipo. Anyway nachefukwa nisiendelee.
Haya tuje kwa wa mwisho GeorDavie, huyu anajiita nabii mkuu na yupo Kisongo Arusha. Anasema aliwahi kutokewa na Yesu Kristo 'live' kabisa yaani 'physically' na akapewa funguo 'physically' pia.
Huyu naye ana mengi ya kumuhoji kwenye hili.
Najiuliza: Je, ni kweli hawa watu walitokewa na Yesu au walikuwa wanadanganya? Mtu akiwa na njaa huwa anaona maruwe ruwe, je, hawa watu walikuwa wana shibe wakati wakitokewa na Yesu? Vipi kuhusu utimamu wa akili zao? Hawakuwa ndotoni? Hawakuwahi kujihusisha na utumiaji wa vilevi mfano bangi na pombe hapo kabla?
Jamani, naona kama baadhi ya watu wanamchezea sana huyu Yesu na wanamchukulia poa sana. Jamani hebu mliowahi ku 'experience' hii hali jitokezeni ili huu wasiwasi wengine ututoke, mnatupeleka kasi sana ndugu zangu, punguzeni.
Au mnafanya haya kwa sababu mnajua hata watu wakihoji hakuna ushahidi wa kusema ninyi waongo? Kwa sababu ya hofu/uoga wa kiimani?
Yaani mtu anakurupuka tu 'from nowhere' na kudai Yesu kamtokea, mara ooh malaika kanitokea, sasa huu ni wakati wa kujua mbivu na mbichi. Kama wanadanganya, je, wana ajenda gani? Ili wapate nini? Wanatumwa na nani?
NB: maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, samahanini kwa mliotajwa ikiwa mtachukulia suala hili kwa uhasi, nimewataja kwa nia njema ya kuufahamu ukweli wa mliyoyasema.
Wasaalam!
Hayo maandiko yaliandikwa na nani?Yes! Kwa mujibu wa maandiko Yesu ni roho baada ya kufa na kufufuka, na huwezi kumuona mubashara kirahisi rahisi tu na kuja kudanganya watu. Ni njaa na maruwe ruwe tu!. Wewe sema stori yako ilikuwa na agenda ya kuwasilisha somo la astral projection tu. Hivi mnamchukuliaje Yesu nyie?! Mbona hamkomi kuongea uongo? Mnapata faida gani?!
Na ukishaona unampinga sana Mungu ujue hii inakuhusu "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu …" (Zaburi 14:1; 53:1). Uzuri Mungu hatetewi maana hana anaegombana nae.Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu sijakuuliza.
Umejuaje deep down naamini Mungu yupo? Umejuaje ninachofikiri dep down?
Mimi naweza kukuambia kwamba dep down, kwa kujua au kwa kutokujua, unaamini Mungu, angalau huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo.
Na sababu nitakupa.
Ungeamini yupo, wala usingekuwa na sababu ya kujibizana nami, ungemuachia tu huyo Mungu afanye mambo yake kwa busara zake kuu.
Ukishajiona unaanza kumtetea tetea Mungu sana tu, ujue huyo Mungu ni ideology yako tu. Mungu kama angekuwepo, kila mtu angejua yupo na kusingewezekana kuwapo na mjadala wa kujadili uwepo wa Mungu.
Umepotosha pakubwa sana!.Nabii wa kwanza wa uongo ni Paulo (paul), huyu jamaa aliuwa waumini wengi waliomuamini Mungu na mtume Isa mwana wa Maryam.
Paulo alidai kuwa alitokewa na Yesu kama vile ambavyo hawa kina zumarid wanavyodai
Yaliandikwa na watu tofauti, katika vipindi tofauti, kwa uvuvio wa roho mtakatifu.Hayo maandiko yaliandikwa na nani?
Oops!!! page not foundHahah sio hivyo tafsiri ya hiki andiko kwamba hezekia hakumuona Physically nataman nikueleweshe vizuri ila nipe muda nikae nitulie
Kwahiyo ni hao tu waliovuviwa roho mtakatifu? Siku hizi watu hawavuviwi na roho mtakatifu? Hebu acha bhana hizo.Yaliandikwa na watu tofauti, katika vipindi tofauti, kwa uvuvio wa roho mtakatifu.
Najua huwezi kuamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaaah
Ni siku mpya leo. Habarini!
Ndugu Waislamu nawatakia muendelezo mwema wa mfungo wa Ramadan!.
Tukianza na member mmoja humu akiitwa BOOM1, yeye anasema kuwa alitokewa na Yesu Kristo akiwa Mtwara na akaambiwa "fanya kazi yangu". Japokuwa huyu BOOM1 alisimulia kana kwamba ilikuwa ni kawaida kwake na hakushangaa sana, hii inavuta 'attention' kutoka kwa yeyote mwenye 'reasoning' na akili timamu kuhoji.
Anasema alimuona mtu kavaa mavazi meupe anameremeta huku akitabasamu, ila hakusema alijua vipi kuwa ni Yesu Kristo mwenyewe.
Tuje kwa huyu mwingine anaitwa Venus Star, huyu anasema miaka 35 iliyopita alitokewa na malaika akiwa Ilboru, anajisomea darasani usiku, yaani 'prepo', akachukuliwa mpaka sehemu wafu walipo. Anyway nachefukwa nisiendelee.
Haya tuje kwa wa mwisho GeorDavie, huyu anajiita nabii mkuu na yupo Kisongo Arusha. Anasema aliwahi kutokewa na Yesu Kristo 'live' kabisa yaani 'physically' na akapewa funguo 'physically' pia.
Huyu naye ana mengi ya kumuhoji kwenye hili.
Najiuliza: Je, ni kweli hawa watu walitokewa na Yesu au walikuwa wanadanganya? Mtu akiwa na njaa huwa anaona maruwe ruwe, je, hawa watu walikuwa wana shibe wakati wakitokewa na Yesu? Vipi kuhusu utimamu wa akili zao? Hawakuwa ndotoni? Hawakuwahi kujihusisha na utumiaji wa vilevi mfano bangi na pombe hapo kabla?
Jamani, naona kama baadhi ya watu wanamchezea sana huyu Yesu na wanamchukulia poa sana. Jamani hebu mliowahi ku 'experience' hii hali jitokezeni ili huu wasiwasi wengine ututoke, mnatupeleka kasi sana ndugu zangu, punguzeni.
Au mnafanya haya kwa sababu mnajua hata watu wakihoji hakuna ushahidi wa kusema ninyi waongo? Kwa sababu ya hofu/uoga wa kiimani?
Yaani mtu anakurupuka tu 'from nowhere' na kudai Yesu kamtokea, mara ooh malaika kanitokea, sasa huu ni wakati wa kujua mbivu na mbichi. Kama wanadanganya, je, wana ajenda gani? Ili wapate nini? Wanatumwa na nani?
NB: maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, samahanini kwa mliotajwa ikiwa mtachukulia suala hili kwa uhasi, nimewataja
Mpumbavu anaogopa kuitwa mpumbavu kuliko kuwa mpumbavu.Na ukishaona unampinga sana Mungu ujue hii inakuhusu "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu …" (Zaburi 14:1; 53:1). Uzuri Mungu hatetewi maana hana anaegombana nae.
Hoja yangu ilikuwa kwenye uchangiaji wako wa awali kusema waliodai kumwona Yesu wana hallucinate! Wewe umetumia kipimo gani wakati hauko kwenye imani yao?
Maelezo mengi marefu na vijiswali vya kijinga huwa sijibu.