Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Juzi kuna dada mmoja ananiambia kwamba Yesu anarudi.
Amelala akatokewa na yesu akamwambia anarudi soon akawaambie watu. Yupo busy kutoa taarifa kwa kila anaye kutana nae hadi unamuonea huruma.
 
Atokee muislamu mmoja aseme katokewa na mtume muhammad physical tuwaonyeshe mfano wakristo wa ku deal na watu kama hao yule zumaridi angekuwa kashapotea mda huu.
 
Juzi kuna dada mmoja ananiambia kwamba Yesu anarudi.
Amelala akatokewa na yesu akamwambia anarudi soon akawaambie watu. Yupo busy kutoa taarifa kwa kila anaye kutana nae hadi unamuonea huruma.
Hatuwezi kumpinga moja kwa moja. Huenda ni kweli alitokewa! Pia mtu anaweza kuona tu maruwe ruwe yake akasingizia ni Yesu, na hamuwezi kumbishia kwa sababu hamkuona.
 
Kwani hao malaika na kina Yesu hawanaga sare za rangi nyeusi,,nyekundu,bluu,,njano nk wao ni nyeupe tuu,,tumewachoka sasa,,wabadilishe sare ndio watutokee,,,Alafu nahitaji kutokewa na Malaika mwenye asili ya weusi,,maana naona ukoo mzima huko mbinguni ni weupe tuu!!!
 
Alivaa kanzu kama nyekundu hivi .anaongea kiswahili sauti nyembamba sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee Wabongo vichwa vibovu sana
Demi hebu njoo uone hapa. Huenda huyu naye alitokewa kweli hatuwezi jua.[emoji23]
 
Ukitoka nje ya mwili na kuja nini kitatokea kesho uwe unatutengenezea jamvi sisi wazee wa mikeka. Tutakushukuru Sana kila siku
Kama unafanya meditation mambo haya ni ya kawaida sana.

Unaweza ukanya Astral Projection.
Mimi mbona nafanya hivyo mara kibao tu. Ninaweza nikaondoka kwenye mwili wangu na kuuona pale pembeni.

Kuna kitu kingine kinaitwa Lucid Dreaming unaweza kusafiri ukiwa kwenye ndoto na kuona yatakayotokea kesho.

Wale wanaosema ni matatizo ya akili huenda ni wazembe na wavivu wa kuujua Ulimwengu.

Tofauti na Physics kuna Metaphysics.

Leta maswali nitajibu na kuonesha jia za kufikia kuonana na Malaika, Yesu, Mizimu au Watu wa zamani waliokufa.
,
 
Hakuna tena wanaovuviwa na roho mtakatifu ili kuongeza wala kupunguza chochote kwenye Biblia, Biblia imeshajitosheleza na haihitaji kuongezwa au kupunguzwa chochote kimaana!.

Suala ni uongo wa hovyo hovyo. Mtu una njaa hujala, unaona maruwe ruwe yako unasingizia mara malaika au Yesu kakutokea na umeongea naye.

Halafu ukiulizwa details zaidi za uthibitisho kona kona zinakuwa nyingi. Kenge wa namna hii umefika wakati wa kukomeshwa kwa tabia hizi.

Huwezi kukurupuka tu from nowhere na kumsingizia Yesu au malaika kakutokea, ten kienyeji enyeji tu eti nimemuona live. Live ya nyoko au?

Kumbe hata Biblia wewe si kitabu chako cha muongozo, nimepata picha hata huyo malaika kama kweli ALIKUTOKEA, hakuwa anatoka kwa MUNGU MKUU.

Mnatakiwa kuanza kusakwa na kuhojiwa.
Hiyo ni Imani yako. Usiwalazamishe wengine wafuate yako.

Amini ya kwako nao waache na uhuru wa Imani zao.
 
Would love to hear your story
Sasa muda ndio Sina maana niliongea masaa 3 walinirekodi , wejua kuwa Kuna mahala watu wanaimba masaa yote weupe wananguo nyeupe wanawaka kama mng'ao wa almasi , na nywele zao za gold , Kuna malaika wanapiga tarumbeta na vitu vingine kusindikiza hizo nyimbo huku tulipo siye ilikuwa Kuna kila kitu MATUNDA yakila aina na vijito na vimito Kuna huo mmoja malaika wazamu wanakinga kwenye jagi za gold hizi vinywaji ila sio ya kilevi wanapewa watumbali mbali , na Kuna sehemu watoto tupo ambapo Kuna waliokufa , wanaosubiri kuzaliwa.

Nilikuwa na huyu mtu mweupe kavaa nguo nyeupe sura yake ni ya gold kiasi hata nywele yupo kama Hawa waisraeli sio weupe kama wazungu , huyu ndio alikuwa kanipokea . Ilikuwaje niliumwa sana nilipewa sumu na mtu kwenye sherehe watu walisema sintopona na wakaniacha tu ICU. Sina matumaini hata wazazi walisema si wakupona , ila Sasa duniani nipo mahututi ila roho yangu nilijikuta katikati ya barabara mbili Moja inamaua mazuri sana na haina wanyang'anyi na ingine ilikuwa inayo Tena nyembamba inavimisitu misitu na walikuwepo wanyang'anyi. Mie sikuwa na mizigo but huyu Mzee niliyekutana naye alikuwa kabeba mgongoni mzigo, ila kabla sijachagua pa kwenda niliona watu wanapenda kwenda wengi kwenye hiyo barabara yenye maua na wakifunguliwa huo mlango ni giza nene na wengine wanalia ila nimsururu wa watu wengi sana but here siwezi wamention ni watu wenye wadhifa sana ila Kwa upande wadini , ila wanaenda , kwenye njia nyembamba ni watu wachache , ni real na msione ni utani , ndio nikaanza kuona it's best kujirisk , nanilikuwa curious kwanini watu hawaendi hiyo barabara mana hata watu wanoenda hawafiki kumi , kwenye hiyo barabara nyembamba mbaya sana basi tukaanza safari ila haikuwa rahisi , maana wale wanyang'anyi wao nawatu ambao wanakupa hard time walikuwa ni wengi nilihangaika kufika mwisho, maana ilikuwa sio rahisi mpaka mnakimbizwa mnataka kuuwawa kabisa ili mkate tamaa yakufika . Ila nilifika to the end nikaona Kwa mbali mji mzuri kweli aisee haufanani na wowote hapa duniani ni mkubwa unameremeta kama almasi na gold ni mzuri sana nilikuwa nimechoka ila pembeni mwangu nikaona mto mdogo msafi nikaona nioshe USO nakunywa maji . Nikaanza safari yangu yakwenda kwenye huo mjumba wa heri ,

Sikuwa pekee yangu nilikuwa na yule Mzee yule Mzee alikuwa amechoka kushinda Mimi ila nilienda naye hadi tukafika . Kutaka kuingia mlangoni umefungwa na koki .kubwa zuri la gold Ile tu tumelishika akatoka kijana mrefu kama hao hao ninao walezea wananguo nyeupe wote , nikaulizwa jina nikaambiwa lipo ila Kwa yule Mzee akaambiwa halipo ngoja , Mimi nikafunguliawa ndani ndio nikaanza kwenda kuona humo ni pazuri ila waleo sijapaelewa waleo maana mara Kuna wanyama ila hawang'ati , Garden ninzuri watoto wanacheza , kawaida ila Sasa unajua tu huku ni paajabu Kuna mahali hurusiwi kuingia maana humo Mungu yupo na wale wakina Ambraham na sijui isaka na yakobo ila Kwa wanaoishi humo ukikubali kubaki unamwona ila mie sikuwa nimekufa exactly so baada ya siku hizo kadhaa humo nikaonyweshwa wazazi wangu walikinililia siamki wakimwomba Mungu nirudi duniani , wakauliza unaenda duniani au unabaki huku nikaona ngoja nirudi , na wakaniambia ukirudi utapata shida sana sana nikidhani niuongo ila kweli nilipitia kazi ambayo hata shetani hajawahi.

Nikarudishwa duniani na hadi Sasa mie nipo napambania kombe good day mkiamini sawa msipoamini sawa ila hapo ni kidogo sio hadithi yote Kuna mengi sana yakuhadithia tena kule kuzimu it's real watu wanachomwa watu wanasaga meno eti
 
Ukweli upi na uongo upi. Wewe bado na mawazo yako primitive usiwalazimishe wengine wafikirie kama wewe.
Wewe ndiyo primitive. Huna haja ya kutangaza unachoamini kwa kuchomekea uongo uongo. Be real!

Unasema ulitokewa na malaika, na ni miaka 35 imepita, lakini unavyosimulia unaonekana wazi ni mwongo!. Mara ukaoneshwa wafu wakifurahi nk!

Umethibitisha uongo kwa sababu umekiri kuwa wewe unaamini hivyo na kunitaka nami niamini ninachoamini.

Brother tangaza imani yako kwa fact siyo kwa kudanganya danganya kama unavyofanya.

Alivaa nguo rangi gani huyo malaika? Ulipomgusa alikuwa na asili ya joto au baridi?!
 
Wewe ndiyo primitive. Huna haja ya kutangaza unachoamini kwa kuchomekea uongo uongo. Be real!

Unasema ulitokewa na malaika, na ni miaka 35 imepita, lakini unavyosimulia unaonekana wazi ni mwongo!. Mara ukaoneshwa wafu wakifurahi nk!

Umethibitisha uongo kwa sababu umekiri kuwa wewe unaamini hivyo na kunitaka nami niamini ninachoamini.

Brother tangaza imani yako kwa fact siyo kwa kudanganya danganya kama unavyofanya.

Alivaa nguo rangi gani huyo malaika? Ulipomgusa alikuwa na asili ya joto au baridi?!
Sasa hapa unafanya nini? Mbona unatangaza imani yako?
Dunia ipo na population ya watu zaidi ya 8b. Wakristo wapo 2.382 billion.
Sasa huoni watu zaidi ya 5b siyo wakristo?

Huoni unajisumbua bure na ujinga wako pekee yako kuwapangia wengine?

You are stupid.
 
Sasa hapa unafanya nini? Mbona unatangaza imani yako?
Dunia ipo na population ya watu zaidi ya 8b. Wakristo wapo 2.382 billion.
Sasa huoni watu zaidi ya 5b siyo wakristo?

Huoni unajisumbua bure na ujinga wako pekee yako kuwapangia wengine?

You are stupid.
You are crazy. Una kona kona nyingi. Hujajibu maswali yangu kwa sababu ni mwongo.
 
You are crazy. Una kona kona nyingi. Hujajibu maswali yangu kwa sababu ni mwongo.
Nikujibu maswali yapi tayari huna free will. You are already programmed. Unawaza kitu kimoja tu.

Huu ulimwengu ni mpana mno. Usijifiche kwenye kaimani kako tu. Waache wengine nao waamini wanacho kiamini
 
Nikujibu maswali yapi tayari huna free will. You are already programmed. Unawaza kitu kimoja tu.

Huu ulimwengu ni mpana mno. Usijifiche kwenye kaimani kako tu. Waache wengine nao waamini wanacho kiamini
Sijazuia yeyote kuamini katika imani yake. Jibu maswali yangu kwanza kisha tuendelee
 
Sijazuia yeyote kuamini katika imani yake. Jibu maswali yangu kwanza kisha tuendelee
Hakuna swali lolote ulilouliza, wewe upo hapa kuwalaumu watu eti hawajaona walichodai.
Je, unauthibitisho kuwa hajaona wanachodai?

Hili swali nimekuuliza mwanzo kabisa wa comments zangu. Unaruka ruka tu.

You still under primitive thinking. Kujiona wewe ni bora ya wengine.

Stupid thinking.
 
Back
Top Bottom