Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Yesu wapo wengi, ngumu kuthibitisha yupo Yesu wa Nazareth au Jesus the redeemer, Yesu wa Tongaren, yesu wa kuzimu anaitwa baliyesu, nk
 
Ni kweli mi mwenyewe siku hiyo nilikuwepo tukanywa nae chai tulikaa nae kama nusu saa hivi badae akaondoka zake. Alipaa tukiwa tunaona hivi hivi.
 
Najaribu kukuelewa lakini sikuelewi.

Kuna contradiction gani katika maneno yangu?

Umejuaje deep down naamini Mungu yupo? Umejuaje ninachofikiri dep down?
Uzuri wa akili itafanya inachotaka kunielewa au kutonielewa ni uamuzi tu.
 
Usifanye conclusion ya unachokisema
Musa alitokewa na MUNGU physical , licha ya kutooneshwa tu sura

HESABU 12: 6-8​

Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto. Lakini kumhusu mtumishi wangu Mose, hali ni tofauti kabisa. Yeye ana jukumu la kuwatunza watu wangu wote. Mimi huongea naye ana kwa ana, waziwazi na si kwa kutumia mafumbo. Yeye huliona umbo langu mimi Mwenyezi-Mungu. Kwa nini, basi, hamkuogopa kusema vibaya dhidi ya mtumishi wangu Mose?”
Ni yeye wa Kwanza na mwisho.
 
Uzuri wa akili itafanya inachotaka kunielewa au kutonielewa ni uamuzi tu.
Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu sijakuuliza.

Umejuaje deep down naamini Mungu yupo? Umejuaje ninachofikiri dep down?

Mimi naweza kukuambia kwamba dep down, kwa kujua au kwa kutokujua, unaamini Mungu, angalau huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo.

Na sababu nitakupa.

Ungeamini yupo, wala usingekuwa na sababu ya kujibizana nami, ungemuachia tu huyo Mungu afanye mambo yake kwa busara zake kuu.

Ukishajiona unaanza kumtetea tetea Mungu sana tu, ujue huyo Mungu ni ideology yako tu. Mungu kama angekuwepo, kila mtu angejua yupo na kusingewezekana kuwapo na mjadala wa kujadili uwepo wa Mungu.
 
Y
Kwasasa Yesu ni roho hawezi kuja phisically, hizo ni story tu.
Ila ukiwa kwenye maombi mazito sana kama uliwah kufanya Kuna hali hivi unaiona kama unazungumza na mtu unayemuona.
Sasa wenzetu hutafsir ni Yesu.

Ata ukiwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo ukilala unaona kama watu wanakukaba,Jinamizi
 
Kama unafahamu kuwa uchawi upo basi unatakiwa ujue pia ulimwengu wa roho upo.
Sijabisha. Hoja ni baadhi ya watu kukurupuka na kusema wametokewa mara na Yesu mara na malaika nk, tena LIVE! Hivi Yesu au malaika wanawezaje kuwatokea watu kama wewe kiholela holea hivyo?
 
Ni siku mpya leo. Habarini!

Ndugu Waislamu nawatakia muendelezo mwema wa mfungo wa Ramadan!.

Tukianza na member mmoja humu akiitwa BOOM1, yeye anasema kuwa alitokewa na Yesu Kristo akiwa Mtwara na akaambiwa "fanya kazi yangu". Japokuwa huyu BOOM1 alisimulia kana kwamba ilikuwa ni kawaida kwake na hakushangaa sana, hii inavuta 'attention' kutoka kwa yeyote mwenye 'reasoning' na akili timamu kuhoji.

Anasema alimuona mtu kavaa mavazi meupe anameremeta huku akitabasamu, ila hakusema alijua vipi kuwa ni Yesu Kristo mwenyewe.

Tuje kwa huyu mwingine anaitwa Venus Star, huyu anasema miaka 35 iliyopita alitokewa na malaika akiwa Ilboru, anajisomea darasani usiku, yaani 'prepo', akachukuliwa mpaka sehemu wafu walipo. Anyway nachefukwa nisiendelee.

Haya tuje kwa wa mwisho GeorDavie, huyu anajiita nabii mkuu na yupo Kisongo Arusha. Anasema aliwahi kutokewa na Yesu Kristo 'live' kabisa yaani 'physically' na akapewa funguo 'physically' pia.
Huyu naye ana mengi ya kumuhoji kwenye hili.

Najiuliza: Je, ni kweli hawa watu walitokewa na Yesu au walikuwa wanadanganya? Mtu akiwa na njaa huwa anaona maruwe ruwe, je, hawa watu walikuwa wana shibe wakati wakitokewa na Yesu? Vipi kuhusu utimamu wa akili zao? Hawakuwa ndotoni? Hawakuwahi kujihusisha na utumiaji wa vilevi mfano bangi na pombe hapo kabla?

Jamani, naona kama baadhi ya watu wanamchezea sana huyu Yesu na wanamchukulia poa sana. Jamani hebu mliowahi ku 'experience' hii hali jitokezeni ili huu wasiwasi wengine ututoke, mnatupeleka kasi sana ndugu zangu, punguzeni.

Au mnafanya haya kwa sababu mnajua hata watu wakihoji hakuna ushahidi wa kusema ninyi waongo? Kwa sababu ya hofu/uoga wa kiimani?

Yaani mtu anakurupuka tu 'from nowhere' na kudai Yesu kamtokea, mara ooh malaika kanitokea, sasa huu ni wakati wa kujua mbivu na mbichi. Kama wanadanganya, je, wana ajenda gani? Ili wapate nini? Wanatumwa na nani?

NB: maneno ndani ya funga semi ni ya kiingereza, samahanini kwa mliotajwa ikiwa mtachukulia suala hili kwa uhasi, nimewataja kwa nia njema ya kuufahamu ukweli wa mliyoyasema.

Wasaalam!
Hakuna aliyetokewa na yesu hapo hao wanatumia ujinga na upumbavu wa watu.Wezi matapeli hao.
 
"Ila ukiwa kwenye maombi mazito sana kama uliwah kufanya Kuna hali hivi unaiona kama unazungumza na mtu unayemuona.
Sasa wenzetu hutafsir ni Yesu."
[emoji115][emoji115]
Ni ujinga ujinga tu ambao unatakiwa kukomeshwa haraka.
 
Ni yeye wa Kwanza na mwisho.
Soma biblia kijana acha kutoa vitu kichwani

Isaya je?

Isaya 6:1-8​

"Mnamo mwaka aliofariki mfalme Uzia, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi kilicho juu na cha fahari. Pindo la vazi lake lilienea hekaluni mote, na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia. Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi: “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu, ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.” Sauti yao iliitikisa misingi ya milango ya hekalu, nalo likajaa moshi . . . . . . . . . . . "
 
Sijabisha. Hoja ni baadhi ya watu kukurupuka na kusema wametokewa mara na Yesu mara na malaika nk, tena LIVE! Hivi Yesu au malaika wanawezaje kuwatokea watu kama wewe kiholela holea hivyo?
Sasa kama hujabisha unauthibitisho upi kama hawajakutana nao? Kama wewe hujakutana na isiwe sababu yako kufanya conclusion wakati wewe huna uwezo.

Do you have any proof kuonesha hawajakutana nao?
 
Back
Top Bottom