Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Sasa muda ndio Sina maana niliongea masaa 3 walinirekodi , wejua kuwa Kuna mahala watu wanaimba masaa yote weupe wananguo nyeupe wanawaka kama mng'ao wa almasi , na nywele zao za gold , Kuna malaika wanapiga tarumbeta na vitu vingine kusindikiza hizo nyimbo huku tulipo siye ilikuwa Kuna kila kitu MATUNDA yakila aina na vijito na vimito Kuna huo mmoja malaika wazamu wanakinga kwenye jagi za gold hizi vinywaji ila sio ya kilevi wanapewa watumbali mbali , na Kuna sehemu watoto tupo ambapo Kuna waliokufa , wanaosubiri kuzaliwa.

Nilikuwa na huyu mtu mweupe kavaa nguo nyeupe sura yake ni ya gold kiasi hata nywele yupo kama Hawa waisraeli sio weupe kama wazungu , huyu ndio alikuwa kanipokea . Ilikuwaje niliumwa sana nilipewa sumu na mtu kwenye sherehe watu walisema sintopona na wakaniacha tu ICU. Sina matumaini hata wazazi walisema si wakupona , ila Sasa duniani nipo mahututi ila roho yangu nilijikuta katikati ya barabara mbili Moja inamaua mazuri sana na haina wanyang'anyi na ingine ilikuwa inayo Tena nyembamba inavimisitu misitu na walikuwepo wanyang'anyi. Mie sikuwa na mizigo but huyu Mzee niliyekutana naye alikuwa kabeba mgongoni mzigo, ila kabla sijachagua pa kwenda niliona watu wanapenda kwenda wengi kwenye hiyo barabara yenye maua na wakifunguliwa huo mlango ni giza nene na wengine wanalia ila nimsururu wa watu wengi sana but here siwezi wamention ni watu wenye wadhifa sana ila Kwa upande wadini , ila wanaenda , kwenye njia nyembamba ni watu wachache , ni real na msione ni utani , ndio nikaanza kuona it's best kujirisk , nanilikuwa curious kwanini watu hawaendi hiyo barabara mana hata watu wanoenda hawafiki kumi , kwenye hiyo barabara nyembamba mbaya sana basi tukaanza safari ila haikuwa rahisi , maana wale wanyang'anyi wao nawatu ambao wanakupa hard time walikuwa ni wengi nilihangaika kufika mwisho, maana ilikuwa sio rahisi mpaka mnakimbizwa mnataka kuuwawa kabisa ili mkate tamaa yakufika . Ila nilifika to the end nikaona Kwa mbali mji mzuri kweli aisee haufanani na wowote hapa duniani ni mkubwa unameremeta kama almasi na gold ni mzuri sana nilikuwa nimechoka ila pembeni mwangu nikaona mto mdogo msafi nikaona nioshe USO nakunywa maji . Nikaanza safari yangu yakwenda kwenye huo mjumba wa heri ,

Sikuwa pekee yangu nilikuwa na yule Mzee yule Mzee alikuwa amechoka kushinda Mimi ila nilienda naye hadi tukafika . Kutaka kuingia mlangoni umefungwa na koki .kubwa zuri la gold Ile tu tumelishika akatoka kijana mrefu kama hao hao ninao walezea wananguo nyeupe wote , nikaulizwa jina nikaambiwa lipo ila Kwa yule Mzee akaambiwa halipo ngoja , Mimi nikafunguliawa ndani ndio nikaanza kwenda kuona humo ni pazuri ila waleo sijapaelewa waleo maana mara Kuna wanyama ila hawang'ati , Garden ninzuri watoto wanacheza , kawaida ila Sasa unajua tu huku ni paajabu Kuna mahali hurusiwi kuingia maana humo Mungu yupo na wale wakina Ambraham na sijui isaka na yakobo ila Kwa wanaoishi humo ukikubali kubaki unamwona ila mie sikuwa nimekufa exactly so baada ya siku hizo kadhaa humo nikaonyweshwa wazazi wangu walikinililia siamki wakimwomba Mungu nirudi duniani , wakauliza unaenda duniani au unabaki huku nikaona ngoja nirudi , na wakaniambia ukirudi utapata shida sana sana nikidhani niuongo ila kweli nilipitia kazi ambayo hata shetani hajawahi.

Nikarudishwa duniani na hadi Sasa mie nipo napambania kombe good day mkiamini sawa msipoamini sawa ila hapo ni kidogo sio hadithi yote Kuna mengi sana yakuhadithia tena kule kuzimu it's real watu wanachomwa watu wanasaga meno eti
Kwanza nikupe pole sana kwa maswahibu ya kupewa sumu yaliyokukuta.

Ila hiki ulichokiandika ulikiona kwenye ndoto na sio reality (ulimwengu wa nyama) ila kwa kuwa Imani ndio mpango mzima basi kama unaamini ilichokiota basi ni jambo jema
 
Hakuna swali lolote ulilouliza, wewe upo hapa kuwalaumu watu eti hawajaona walichodai.
Je, unauthibitisho kuwa hajaona wanachodai?

Hili swali nimekuuliza mwanzo kabisa wa comments zangu. Unaruka ruka tu.

You still under primitive thinking. Kujiona wewe ni bora ya wengine.

Stupid thinking.
Ndiyo ninao! Uthibitisho ni kushindwa kujibu maswali ya msingi na kuishia kuzunguka zunguka tu loosely. Ukiona mtu analeta kona kona nyingi kwenye kujibu ujue ni mwongo mkubwa. Aidha anatafuta attention au ana utindio wa ubongo uliofanya aone maruwe ruwe.

Nimekuuliza, huyo malaika ulipomgusa alikuwa na joto au baridi?
Je, alikuwa na harufu yoyote?
Kumbuka umesema alikutokea fizikali.
 
Mzee umesema uthibitisho unao. Mbona huuweki hapa sasa.
Haya tuwekee huo uthibitisho.
 
Mbona nimeshauweka. Kwa Zumaridi, ameshindwa kueleza hoja zenye nguvu kupitia maandiko ya Biblia ambayo anayatumia kudanganya, na yanapingana na alichoeleza. Ni MWONGO moja kwa moja.

Kwa wewe, siwezi sema ni mwongo au mkweli kwa kuwa hujanijibu maswali yangu. Uthibitisho utatokana na wewe kunijibu maswali yangu.
 
Nikuambie kitu. Uelewa wako bado ni mdogo sana.
Ninaongea mambo yaliyojuu ya uwezo wako.

Huwezi ukatuletea uthibitisho wa kusoma andiko moja la kwenye biblia na ukatulia.

Kwanza biblia huijui. Nikianza kukuletea mistari hapa utapotea.

Nakushauri, heshimu imani za wengine.
 
Haya nataka utoe maelezo juu ya haya.
Kutoka kwenye Biblia

3 Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
Matendo ya Mitume 9:3

4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?
Matendo ya Mitume 9:4

5 Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
Matendo ya Mitume 9:5

6 Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
Matendo ya Mitume 9:6
 
Okay! Ni kweli siijui Biblia naifahamu kwa sehemu tu. Ila kwa hoja yako wewe, ipo uchi mno! Haina haja ya mistari, ni kuthibitisha tu, sasa nijibu maswali tu usitake kutoka nje ya reli. Jibu then mambo mengine yaendelee.

NB: naheshimu imani za watu sana. Ila tu nachukia wao kudanganya kwa mwamvuli wa Biblia takatifu, only that. Kwa mujibu wa Biblia Zumaridi ni MWONGO mkubwa.

Haya jibu maswali ili nijiridhishe kama nawe ni mkweli au mwongo kwa mujibu wa Bible.
 
Jibu swali, uliza swali.
 
Hebu uliza swali lako. Sasa nipo na muda.
Huyo malaika(kama ulivyomuita) aliyekutoa fizikali, akakuchukua mpaka kuzima fizikali, je, ulipomgusa alikuwa na mwili wa joto au baridi au umesahau? Harufu yake ilikuwaje au umesahau? Mwisho, kwa nini umesema ni malaika na si vinginevyo? Umeutoa katika imani ipi msamiati wa malaika na ukautumia?!
 
Okay! Ni kweli siijui Biblia naifahamu kwa sehemu tu. Ila kwa hoja yako wewe, ipo uchi mno! Haina haja ya mistari, ni kuthibitisha tu, sasa nijibu maswali tu usitake kutoka nje ya reli. Jibu then mambo mengine yaendelee.

NB: naheshimu imani za watu sana. Ila tu nachukia wao kudanganya kwa mwamvuli wa Biblia takatifu, only that. Kwa mujibu wa Biblia Zumaridi ni MWONGO mkubwa.

Haya jibu maswali ili nijiridhishe kama nawe ni mkweli au mwongo kwa mujibu wa Bible.
Biblia pana sana rafiki yangu.
Ndio maana yapo madhehebu zaidi ya 1,000.
Halafu unatakiwa ujue mambo haya mawili:-
1. Revelation
2. Doctrine
Ukifahamu hayo huwezi gombana na mtu.
Ngoja sasa nikufundishe.

Katika ukristo Ufunuo ni jamba la muhimu mno. Maana linakupatia direction kama mtumishi.
Kama unakumbuka Paul alikataliwa mwanzoni ni akina Petro. Hii kutokana na ufunuo wake ulikuwa hauingii akili mwa akina Petro. Lakini walipo elewa walianza kushirikiana naye.

Unatakiwa ujue katika mwili wa kristo kuna huduma tano:-
1. Mitume
2. Nabii
3. Mchungaji
4. Mwalimu
5. Mwijilist.

Kila mmoja anafanya kwa namna yake.
 
Huyo malaika(kama ulivyomuita) aliyekutoa fizikali, akakuchukua mpaka kuzima fizikali, je, ulipomgusa alikuwa na mwili wa joto au baridi au umesahau? Harufu yake ilikuwaje au umesahau? Mwisho, kwa nini umesema ni malaika na si vinginevyo? Umeutoa katika imani ipi msamiati wa malaika na ukautumia?!
Kwanini usiende ukaulize kwenye thread inayohusika?
Hapa umeleta thread inayosema:-
Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Tukianza kuchanganya vitu kila sehemu litakuwa ni kundi la watu wasio na utaratibu.

Mimi nipo kwenye mada hii kuongelea thread uliyoileta.
Fuata utaratibu uliowekwa na wataalam wa JF.
 
Biblia pana sana rafiki yangu.
Ndio maana yapo madhehebu zaidi ya 1,000.
Halafu unatakiwa ujue mambo haya mawili:-
1. Revelation
2. Doctrine
Ukifahamu hayo huwezi gombana na mtu.
Ngoja sasa nikufundishe.

Katika ukristo Ufunuo ni jamba la muhimu mno. Maana linakupatia direction kama mtumishi.
Kama unakumbuka Paul alikataliwa mwanzoni ni akina Petro. Hii kutokana na ufunuo wake ulikuwa hauingii akili mwa akina Petro. Lakini walipo elewa walianza kushirikiana naye.

Unatakiwa ujue katika mwili wa kristo kuna huduma tano:-
1. Mitume
2. Nabii
3. Mchungaji
4. Mwalimu
5. Mwijilist.

Kila mmoja anafanya kwa namna yake.
Sasa ufunuo wa Paulo ulikuwa na nguvu na haukuwa na kona kona kama wako. Mosi mashahidi walikuwepo wa kuweza kuthibitisha ukweli wa tukio. Pia ni ufunuo wa Paulo na matendo yake kutopingana na ya Yesu, hapo walimuamini.

Wewe umesema ulitokewa na malaika na bado wengi tu wanaendelea kuja na unaongea nao, okay siyo case. Malaika wanaokutokea(kama ni kweli) unajua ni kutoka wapi? Nuruni(malaika wa mwanga) au gizani(malaika wa giza)?!
 
Kwanini usiende ukaulize kwenye thread inayohusika?
Hapa umeleta thread inayosema:-
Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Tukianza kuchanganya vitu kila sehemu litakuwa ni kundi la watu wasio na utaratibu.

Mimi nipo kwenye mada hii kuongelea thread uliyoileta.
Fuata utaratibu uliowekwa na wataalam wa JF.
Sawa, naweza kukuletea maswali kwenye uzi wako?
 
Sasa ufunuo wa Paulo ulikuwa na nguvu na haukuwa na kona kona kama wako. Mosi mashahidi walikuwepo wa kuweza kuthibitisha ukweli wa tukio. Pia ni ufunuo wa Paulo na matendo yake kutopingana na ya Yesu, hapo walimuamini.

Wewe umesema ulitokewa na malaika na bado wengi tu wanaendelea kuja na unaongea nao, okay siyo case. Malaika wanaokutokea(kama ni kweli) unajua ni kutoka wapi? Nuruni(malaika wa mwanga) au gizani(malaika wa giza)?!
Unajua kwanini Paulo na wenzake walikuwa wanakamatwa?
Kona kona unaziona wewe lakini wale wenye imani yao hawaoni hizo kona kona.

Soma biblia kijana acha uzembe

2 Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
2 Wakorintho 12:2

3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
2 Wakorintho 12:3

4 ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.
2 Wakorintho 12:4
 
Sawa, naweza kukuletea maswali kwenye uzi wako?
Wewe uliza tu. Lakini tufuate utaratibu.
Dunia hii nipana sana.
Ungekuwa unafahamu mambo ya Physics ningekuletea vitu hapa vingi tu.

Kama wewe hujawahi kukutana na vitu vinavyosemwa basi ni wewe wengine wanakutana navyo.

Ulishawahi kufanya maombi na ukajikuta upo kwenye ulimwengu wa roho ukizungumza na mtu?
 
Sawa, naweza kukuletea maswali kwenye uzi wako?
Biblia inaposema vijana wenu kuona maono unaju maana yake?

17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
Matendo ya Mitume 2:17
 
Unajua kwanini Paulo na wenzake walikuwa wanakamatwa?
Kona kona unaziona wewe lakini wale wenye imani yao hawaoni hizo kona kona.

Soma biblia kijana acha uzembe

2 Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
2 Wakorintho 12:2

3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
2 Wakorintho 12:3

4 ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.
2 Wakorintho 12:4
"Unajua kwanini Paulo na wenzake walikuwa wanakamatwa?
Kona kona unaziona wewe lakini wale wenye imani yao hawaoni hizo kona kona."
[emoji115][emoji115]
Walikuwa wakikamatwa kwa sababu walikuwa wakifundisha kinyume na mafundusho ya kiyahudi. Na waliokuwa wakiwakamatisha ni Wayahudi wenzao wenyewe, kwa kuwachongea kwa watu wasio Wayahudi na kuwafitinisha dhidi ya akina Paulo.

Hao wenye imani yao ni nani? Na wewe imani yako ni ipi? Mimi imani yangu ni Ukristo, wewe imani yako ni ipi? Tuwekane sawa kwanza hapo kabla hatujaendelea.
 
Unajua kwanini Paulo na wenzake walikuwa wanakamatwa?
Kona kona unaziona wewe lakini wale wenye imani yao hawaoni hizo kona kona.

Soma biblia kijana acha uzembe

2 Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
2 Wakorintho 12:2

3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
2 Wakorintho 12:3

4 ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.
2 Wakorintho 12:4
Mistari uliyoileta haiakisi kisa chako wewe.
 
Back
Top Bottom