Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

Hivi ni kweli Yesu alimtokea Nabii Mkuu physically?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee Wabongo vichwa vibovu sana
Demi hebu njoo uone hapa. Huenda huyu naye alitokewa kweli hatuwezi jua.[emoji23]
Hahahahaha DeepPond njoo useme kitu
 
Kabisa! Napata mashaka mno. Kuna haja ya kuanza kukamatwa na kuhojiwa kwa hawa watu kuhusu ukweli wa wanayoyasema.
Nachowashangaa great thinkers kushindwa kung'amua mbinu za matapeli, kuhodhi saikolojia za wajinga?

Mnavyosema wana matatizo ya kiakili wakati wanazidi kuneemeka kwa kutajirika kutokana na jasho la masikini, hamuitendei haki jamii na hamjitendei haki ninyi wenyewe!

Uliona wapi mtu mwenye matatizo ya kiakili akapanga mbinu za kupiga pesa na akafanikiwa?

Hao wana akili timamu sana tu, ila wanacheza na saikolojia za wajinga na wapumbaf masikini.
 
Machizi wameongezeka.sana tanzania huku chizi mkuu akiwa huyo bwana GeorDavie.Uganda walichomwa na kibwetere, 🇰🇪 wamefungishwa mpaka kufa sasa nadhani wakati umefika kwa 🇹🇿
 
Back
Top Bottom