King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,685
- 94,631
Inetegemea na Demu gani kama akiwa sio mzuri lazima nimpige chini.
Hhaha. Yani hapo anakua karahisisha kazi.Hivi umeona wapi mtu anataka kukupa Hela eti unakataa na kusema kwamba una mshaharaa....hebu wacha undezi bana tafuna sepaaa
[emoji23] [emoji23] mkuu unajutia kutoitumia vyema nafasi.Niliwahi kuandikiwa barua nikaichanachana hadi leo mwaka wa 15 cjawahi pata chance kama ile.
Inaonekana ratio yao ya kukataliwa ni ndogo. Au wao wanaojiamini kutongoza wanaume huwa na kauzuri kidogoInetegemea na Demu gani kama akiwa sio mzuri lazima nimpige chini.
Mkuu Evelyn, Kwaiyo unasisitiza tuziparue zikijileta.mwanaume kukataa papuchi ufalah huo
ndioMkuu Evelyn, Kwaiyo unasisitiza tuziparue zikijileta.
Hapana mku Sena by nature ukimkataa mwanamke not fairInamaana mbinu zao ni kali zaidi, ndio maana ni ngumu kuwachomolea?
Coment yako tamu kila nikiona hii ID lazima nisome ulichoandikamwanaume kukataa papuchi ufalah huo
Inategemeana na papuchi lakinimwanaume kukataa papuchi ufalah huo
si mtmbj weweInategemeana na papuchi lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maan CCM inawatongoza wanaume pekee
Ushawai kutongoza mwanaume?ndio
Hivyo basi wanaume tunahuruma zaidi. Tunawajali wanawake.Hapana mku Sena by nature ukimkataa mwanamke not fair
Kweli maana Kuna papuchi hazikubalikiInategemeana na papuchi lakini
Golden chance, sio!!Yaani mi nikitongozwa na mwanamke nachanganyikiwa kabisaa muda huo huo namkubalia watoto wa mjini wanasema kiroho safi!!!