Hivi ni kweli wanaume hatukatai?

Hivi ni kweli wanaume hatukatai?

Kusema ukweli mi sikataagi. Nawaambia tu ukweli kuwa ningirl mwingine so akae akijua kbsa. Ila nakuwa makini nao sana. Hwachekewi kukuroga
 
itategemea na ametumia njia ip kuna wengine wanakuja one way to getto hao lazima tunase
 
Habari wakuu.

Ivi ni kweli wanaume tukitongozwa na wanawake hatukatai. Au wanatusingizia hawa wenzetu.

Ivi ni kweli wanaume tumekua dhaifu kiasi hiki.
Kwamba hakuna mwanamke asiekataliwa na mwanaume, au hawakufanya vizuri utafiti wao.View attachment 833157
Ni kweli wanaume wengi hatukatai hasa pale unapoona mwanamke au demu ni mzuri au Una tamaa .Tahadhari wanawake hawa kukupiga chini ni rahisi Sana kwasababu Wana ujasiri wa kutongoza mwanaume mwingine.akishakuchoka anaenda tongoza mwanaume mwingine. Hii tamaduni ya mwanaume kutongoza mwanamke nmeikuta hata Asia ni kama traditional mwanaume ni first .
 
Napiga chini kyuma mpya karibu kila wiki. Wiki hii tu nimezipiga chini karibu 5 moja ikiwa ni ya mke wa mtu tena mzuri kinoma.
 
Back
Top Bottom