Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,975
Inetegemea na Demu gani kama akiwa sio mzuri lazima nimpige chini.
umeongea point muhimu mnoo, inategemea na sura. Nadhani hao wengi wanaosema wamekataa sura hazikuwa kwenye level zao ama waliona kasoro labda mdada ananuka harufu flani ama kasoro nyengine yyte mbele ya macho yao.