Hivi ni kweli unaweza kumtongoza mwanamke akatae?

Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua unatumia hela kama sera.

Tufanye anza kumtongoza demu humu live na sisi tuone mnavyochati mpaka tarehe ya kwenda kumgegeda, bila kutaja una wadhifa gani, au utampa sh ngp.
 
Nimechangata papuchi za kutosha ila record ya kibuti nimeshachezea mara 5 tu ila 50 Zote zilitiki na 10 ni ile unapiga bila mtongozo ile style ya mbuzi kufia kwa muuza supu na bado naendelea kutongoza,mwanaume inabidi uwe unatongoza tu bila kujali uhitaji

Sent using IPhone X
 
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
NGOJA pesa zako za urithi ziishe,,,,,,utaleta MAREJESHO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Rock mwenyewe Wana mtolea nje sem use wewe ukiona kila Dem anakukubal jua unatongoza mabek tatu Wala hujajaribu wanawake unao his ndio taip zako embu jaribu kumtongoza demu mkali wa mtaa wenu alafu utuletee majibu Sio kila Dem atakukubal labda wale madem wa kule lidaz usiku Ila wa mtaan Wana changamoto zao mm mtaani kwetu ndie nilie kula Dem mkali kuliko wote mpaka Sasa vijana Wana nieshim lakini bado Kuna pimb zinanisumbua
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
inategema na type unazo pita nazo
 
Mimi graph yangu ya kikataliwa inazidi kupanda kwa kasi na sijui itaishuka lini
 
Back
Top Bottom