Hivi ni kweli unaweza kumtongoza mwanamke akatae?

Hivi ni kweli unaweza kumtongoza mwanamke akatae?

Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi nimewahi kupigwa vibuti sana, am told sina muonekano wa uongo na sina maneno ya uongo na pia sijali kukataliwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi watu wanaojisifia sana huwa wanaongea kinyume na uhalisia. Japo sikuhizi ni kweli kunaidadi kubwa ya wanaokubali kugegedwa kirahisi, pia wanaokataa wapo. Kuna wanawake wengine wanamisimamo hadi unatamani utangaze ndoa kabisa siku kikieleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa pale corner bar watakukataa vipi?
 
Back
Top Bottom