Hivi ni kweli unaweza kumtongoza mwanamke akatae?

Kama hujawahi kukataliwa na mwanamke basi tambua wewe ni mtu wa kuparamia malaya ambao pia huwa ni ajira yao ya kuendesha maisha,sasa watakukataa vipi na wao wanatafuta pesa,,
Au thibitisha kauri yako kwa kumtokea Diva anayetaka mahari ya B 1 ml 500,najua mahari hiyo huna ila kwa vile hujawahi kukataliwa ebu jaribu kwa huyo asiyejua kupika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unamtongoza Nani...ninawasiwasi na level za mademu zako
 
Back
Top Bottom