FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Inasemekana kwamba ng'ombe hana roho kabisa. Yaan yeye ana mwili tu bila roho. Infact akifa bado haijabainika ni nini hasa kinachotoka mwilini mwake hadi afe. Infact bado haijabainika kama angekuwa na roho hiyo roho ingeenda wapi akifa.
Motoni au Peponi infact hana free will so itakuwa unfair kuipeleka roho yake motoni. Lakini pia itakua grossly unfair kuipeleka mbinguni coz hajapitia majaribu kama ya binadamu wenye free will.
Infact inaaminika kwamba hata nguruwe hawana roho..., na hata wangekuwa nayo same applies..., ngoja nilale kwanza nitaendelea..