FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo manyaunyau alivyokuwa anawachinja baadae walifufuka sio..?!Mbona inasemekana paka ana roho saba!?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
Katika viumbe vyote vinavyoonekana hapa duniani, ukitoa majini n.k ni Binadamu ndo mwenye ROHO, na ndo maana Mungu akasema ameumba mwanadamu kwa mfano wake kwa kuwa Mungu ni Roho na Binadamu ana Roho pia. Kinachomfanya Mwanadamu aishi ni Nafsi na Si Roho, Roho haifi ila nafsi ikishakufa ndo mauti ya mwanadamu hapo. Kwahiyo ktk Topic yetu Ng'ombe hajaumbwa na Roho, kwahiyo yeye Motoni hakumhusu wala Mbinguni hakumhusu maana hesabu yake yeye inaishia hapa hapa Duniani.
Story za Shetani na Mungu ni Simulizi tu...hakuna uthibitisho wowote...labda Kiimani..Huu ni ukweli tunaoogopa kuusema...
kwa mungu ilipotoka.Akifa roho yake inaenda wapi..
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
Katika viumbe vyote vinavyoonekana hapa duniani, ukitoa majini n.k ni Binadamu ndo mwenye ROHO, na ndo maana Mungu akasema ameumba mwanadamu kwa mfano wake kwa kuwa Mungu ni Roho na Binadamu ana Roho pia. Kinachomfanya Mwanadamu aishi ni Nafsi na Si Roho, Roho haifi ila nafsi ikishakufa ndo mauti ya mwanadamu hapo. Kwahiyo ktk Topic yetu Ng'ombe hajaumbwa na Roho, kwahiyo yeye Motoni hakumhusu wala Mbinguni hakumhusu maana hesabu yake yeye inaishia hapa hapa Duniani.
Wewe unaonaje?Hajasema...kauliza..
Wewe unaonaje?
Wanayo au hawana?
Unfortunately this is according to me..ndo kwanza naskia kwako. hayo uliyoyasema ni according to science au imani?