Hivi ni kweli Ng'ombe hawana roho

Hivi ni kweli Ng'ombe hawana roho

Inasemekana kwamba ng'ombe hana roho kabisa..., yaan yeye ana mwili tu bila roho. Infact akifa bado haijabainika ni nini hasa kinachotoka mwilini mwake hadi afe..., infact bado haijabainika kama angekuwa na roho hiyo roho ingeenda wapi akifa .., motoni au mbinguni..., infact hana free will so itakuwa unfair kuipeleka roho yake motoni.., lakini pia itakua grossly unfair kuipeleka mbinguni coz hajapitia majaribu kama ya binadamu wenye free will..., infact inaaminika kwamba hata nguruwe hawana roho..., na hata wangekuwa nayo same applies..., ngoja nilale kwanza nitaendelea..

nilipata kusikia mbinguni ni kama nchi ya maziwa na asali, uwezekano mkubwa upo wa ng'ombe na nyuki kuwepo huko.
 
Kitu kinachotufanya tufanane na Mungu ni roho.Mungu ni roho.Mungu aliposema nitamfanya MTU kwa mfano Wangu hapa alimaanisha Binadamu atakuwa na roho kama yeye.wanyama HAWANA roho

Kweli kabisa sisi tuna roho, wanyama hawana.

Roho inafananaje, ikoje, ina kazi gani hii ni beyond scope ya ufikiri wa binadamu yoyote ndo maana hata hapa hampati jibu.
Hapo sasa ndo Mungu anakuonyesha ye ni nani na akiitaka roho yako anakupumzisha kuishi (kufa) halafu tena akiitaka siku ya mwisho (anayoijua yeye), anakuhukumu kutokana na matendo yako.
 
Roho ndio nini?
Inafananaje?
Ikoje?
Inakaa sehemu gani katika mwili wa binadamu?

nafikiri roho it is something abstract hakionekani wala kushikika and roho inahusiana na nafsi so binadamu tu ndo wana roho. But am not sure with ma answer. Ni jinsi nionavyo mimi
 
nilipata kusikia mbinguni ni kama nchi ya maziwa na asali, uwezekano mkubwa upo wa ng'ombe na nyuki kuwepo huko.

haaaaa haaaaaaa haaaaaaaaaaaa!!!!!! unawaza wewe
 
roho ni koromeo la kulia chakula.mwalimu aliniambia hivyo
 
Hizi post za post midnight ni majanga
 
Kama ng'ombe hana roho basi hata baadhi ya binadamu/watu watakuwa hawakubahatika kupewa ROHO pia...!
 
nafikiri roho it is something abstract hakionekani wala kushikika and roho inahusiana na nafsi so binadamu tu ndo wana roho. But am not sure with ma answer. Ni jinsi nionavyo mimi

nafsi ni nini?
can you put nafsi in english? nataka ni google.
 
Back
Top Bottom