Hivi ni kweli Lowassa alishinda uchaguzi 2015??

Hivi ni kweli Lowassa alishinda uchaguzi 2015??

Hii mada ya kijinga kwa kiasi kikubwa sana. Hard copies records za kila Kituo ambazo ni haki ya kila chama kupitia wagombea wao ziko wapi? Kwanini hajitolewa mpaka leo hadharani watu wathibitishe! Kwa vijiweni, hizi stori ndio zitapendeza ( In Dr. Shika’s voice)
 
Hizi kauli za Lowassa kuwa hakutaka kuingia Ikulu kwa kumwaga damu anazozitoa katika kampeni za udiwani zina maana gani?
alishinda sema nape na lubuva walifanya magoli ya visigino
IMG-20151025-WA0053.jpg
 
Hii mada ya kijinga kwa kiasi kikubwa sana. Hard copies records za kila Kituo ambazo ni haki ya kila chama kupitia wagombea wao ziko wapi? Kwanini hajitolewa mpaka leo hadharani watu wathibitishe! Kwa vijiweni, hizi stori ndio zitapendeza ( In Dr. Shika’s voice)
Ujinga wa mada ni upi
 
Si kweli na ndio maana sio rais wa nchi hivi sasa. HAKUSHINDA
 
Hizi kauli za Lowassa kuwa hakutaka kuingia Ikulu kwa kumwaga damu anazozitoa katika kampeni za udiwani zina maana gani?
NDIYO alimpiga dikteta uchwara kwa mamilioni ya kura!! Ndiyo sababu hakuruhusiwa kushukuru, Mikutano ilipigwa marufuku, ili watu wasiulize hilo dude ambalo halikuchaguliwa limeingiaingia je?
 
Hizi kauli za Lowassa kuwa hakutaka kuingia Ikulu kwa kumwaga damu anazozitoa katika kampeni za udiwani zina maana gani?
Kweli alishinda katika kura za kupigia katika tovuti. Yaani zile za internet za yes na no na ndiyo maana tunamuita rais wetu wa mioyoni.
 
Waliishia mikononi mwa Kamanda Kova
na mwisho kesi ikafutwa fasta fasta
nilitamani wafike mahali mahakama inahitaji vielelezo hahaha hapo ndo mngejua raisi ni yupi ....
ndo maana kuna watu wanaogopa hadi vivuli vyao wanatumia hadi sub machine gun hihihih
 
Ujinga wa mada ni upi[/QUOTE
Kila kituo kinabandika matokeo yake baada kuhesabu. Kiongozi anaye simamia zoezi kwa level ya jimbo anaweza kukusanya matokeo yote ya vituo na kupeleka juu. Viongozi wa kitaifa na Campain team wanapata majumuisho ya nchi nzima siku hiyo hiyo.
Swali: Wewe umewahi kuonyeshwa majumuhisho ya kura yanayo reflect hiyo 62 percent?

Unaamini jamaa wapate wabunge kwa zaidi 70percent halafu Urais iwe viseversa. Jiongeze !
 
Mshindi katika uchaguzi hutangazwa na tume.
Hata hivyo, vyombo na vyama dola huwa vinatia madoa uchaguzi huru pale matendo Kama kukamata vijana wa chadema waliokuwa wakijumlisha, kubatilisha matokeo ya wawakilishi Zanzibar baada ya kuwatangaza n. k.
Mshindi atangazwe bila mizengwe. Wakati mwingine yaweza kuwa ni upuuzi tu wa watendaji wa tume na vyombo vingine na siyo upendeleo.
Hao vijana walitaka ku create confusion (sintofahamu ya matokeo) halafu kutokee commotion (maandamano na vurugu) mwisho iwe ni muafaka wa kuunda serikali ya kitaifa. Ila walisahau JK alikuwa ni Luteni Kanali, na IT akaweka wajeshi na kule TCRA kukafungwa mitambo very advance !
Jamaa wakadakwa kama makuku ya broiler !
 
Yes Na aliyeweka Alogarithm kwenye servers amepewa zawadi ya Mkurugenzi Mkuu wa TIS Ndivyo walivyomwibia Lowassa kama Uhuru alivyomwibia Raila. Hata kama Mkapa+Kikwete+Mbong'oa pushap wangegombea wote kwa pamoja Wasingemshinda Lowassa.
Yaap ! Zile pesa alizogawa Makanisani sio mchezo mchezo, huku kawaajiri akina Gwajay kama washenga !
 
Yes Na aliyeweka Alogarithm kwenye servers amepewa zawadi ya Mkurugenzi Mkuu wa TIS Ndivyo walivyomwibia Lowassa kama Uhuru alivyomwibia Raila. Hata kama Mkapa+Kikwete+Mbong'oa pushap wangegombea wote kwa pamoja Wasingemshinda Lowassa.
IMG-20171117-WA0016.jpg

Aende Zimbabwe kuna nafasi !
 
Kama alishinda na bado yupo barabarani na Sumaye wake, then does it make any sense !?
 
Mimi ni CHADEMA ila naweza sema hakushinda.

CCM ina wabunge na madiwani kuliko UKAWA ingekua ngumu eti mtu achague mbunge na diwani CCM halafu Rais UKAWA.

CHADEMA wajikite sana vijijini huku mjini tushawaelewa, huko vijijini ndiyo kulikoifanya CCM ishinde
Na ndo maana umeme vijijini REA !
Wakulima wadogo wadogo wameondolewa kero za ushuru ule wa usumbufu !
Wao wamekali biashara ya kuwachukuwa wanasiasa togwa akina Nyalandu.
Mie niliwahi kujiuliza, 'mzungu' Masha anawasaidiaje chadema ? ....jibu ndo hilo Chairman katoa kuwa uwepo wake haukuwa na faida yeyote !
 
lowassa aombe ushauri kwa dr. shika jinsi ya ku hit headlines
 
Back
Top Bottom