mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,179
- 137,581
We Muosha hyooo hpo lum unaweza jifananisha na shika mwenzako ashakuwa maarufu wakati we utabakia kutegemea hyo buku7 unayopewa ili uje ulielie humuHuyo ni sawa na Dr Shika tu
Ova
We Muosha hyooo hpo lum unaweza jifananisha na shika mwenzako ashakuwa maarufu wakati we utabakia kutegemea hyo buku7 unayopewa ili uje ulielie humuHuyo ni sawa na Dr Shika tu
Kuna watu watatu tu ambao ni wanaccm wanaweza kukujibu kwa ufasaha sana ukiwaomba kwa PM , maana wana ID humu Jf , mmoja anaitwa Jakaya Kikwete , mwingine anaitwa Lubuva , huyu wa tatu naomba nimhifadhi kwa sasa , ila aliingia tume ya uchaguzi dk za majeruhi na baada ya uchaguzi amepandishwa cheo .Hizi kauli za Lowassa kuwa hakutaka kuingia Ikulu kwa kumwaga damu anazozitoa katika kampeni za udiwani zina maana gani?
Haiwezekani kwa ratio hii ya ubunge unless useme hata ubunge waliibiwa kwa asilimia zinazofanana na urais.ALISHINDA.. Yes EL ALISHINDA.
Matokeo aliyaharibu yule Jaji Kipara Mkiti wa Tume wakisaidiwa na wale jamaa wa IT waliokuwa chini ya February..
Uzuri hili hata Pogba analijua fika kuwa HAKUSHINDA.
atafutwe mkuu aulizwe yeyeHilo kuwa alipata 62% kwanini alisema
pamoja na katiba boraKuondoa haya yote kuweni na tume huru kabisa ambacho inaweza kutenda haki!
[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] wengine watatoka kapa hapoALISHINDA.. Yes EL ALISHINDA.
Matokeo aliyaharibu yule Jaji Kipara Mkiti wa Tume wakisaidiwa na wale jamaa wa IT waliokuwa chini ya February..
Uzuri hili hata Pogba analijua fika kuwa HAKUSHINDA.
Hujui kitu , kwa mfano jimbo la Kyela Mgombea wa chadema aitwaye Mwanyamaki alishinda ubunge lakini hakutangazwa .Mimi ni CHADEMA ila naweza sema hakushinda.
CCM ina wabunge na madiwani kuliko UKAWA ingekua ngumu eti mtu achague mbunge na diwani CCM halafu Rais UKAWA.
CHADEMA wajikite sana vijijini huku mjini tushawaelewa, huko vijijini ndiyo kulikoifanya CCM ishinde
Acha uongo weweHujui kitu , kwa mfano jimbo la Kyela Mgombea wa chadema aitwaye Mwanyamaki alishinda ubunge lakini hakutangazwa .